Sina Muda Lyrics
Sina Muda Lyrics by IBRAH NATION
Sina Muda
I talk to them haters
Sina Muda
Wanasema sina time sina muda
Ile saa niko nyasi mi navuta
Sina muda nao,Sina muda
Wanasema sina time sina muda
Jini gani ipo kichwani nimevurugwa
Sina muda nao,Sina muda
I gat much love for ma homies
Wengine siwajui siwaoni
Sina muda,sina muda,sina muda nao
I gat much love for ma homies
Wengine siwajui siwasomi
Sina muda,sina muda,sina muda nao
Yeaaah
Wameniganda kama ruba
Kueleza maisha yangu Ila navunga
Hawanisifii wana kunya
Eti mjuba round hii amebuma
Kidume jasho navuja
Sometimes nakunywa chai bila sugar
Kitaani wanahisi nimevurugwa
Nilikua nanyuka
Ila Sasa navaa vinjunga
Alhamdulilah Mungu Ni mkubwa
Tangu nianze kupanda sijawahi shuka
Nakumbuka maneno ya mizuka
Nishaambiwa wote waliopanda wameanguka
Maneno maneno nayaepuka
Yananipa hasira mpka goosebumps
Wakuda wana zuga
Wanajitia wanangu ukichek tagi kubwa aah
Wanasema sina time sina muda
Ile saa niko nyasi mi navuta
Sina muda nao,Sina muda
Wanasema sina time sina muda
Jini gani ipo kichwani nimevurugwa
Sina muda nao,Sina muda
I gat much love for ma homies
Wengine siwajui siwaoni
Sina muda,sina muda,sina muda nao
I gat much love for ma homies
Wengine siwajui siwasomi
Sina muda,sina muda,sina muda nao
Hii kweli shurba
Kumuaminisha mwanadam ni kazi kubwa
Kila nachobonga wanasema pumba
Pumbavu semeni na yenu achane ukuda
Mi sio ndezi mi sio punda
Nabeba mzigo mwepesi Sina muda
Sina fuba,ki Muziki siwezi fuja
Bado life sio good Ila watafurahi nikianguka
Mtoto wa kiume na nanguvu ka nguva
Usiniletee upaka bro hili Chaka la umbwa
Mafanikio ni subra na kudra za Muumba
Mambo yatakua super sina pupa
Nina bright future
Wanasema sina time sina muda
Ile saa niko nyasi mi navuta
Sina muda nao,Sina muda
Wanasema sina time sina muda
Jini gani ipo kichwani nimevurugwa
Sina muda nao,Sina muda
Watch Video
About Sina Muda
More lyrics from Addicted album
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl