Nitakusahau Lyrics
Nitakusahau Lyrics by MAVOKALI
Mi mwenzako sina amani ya mapenzi
Mi mwenzako sina hata wa kunienzi
Umeumiza mtima mama umebadili na jezi
Umesema umesanda nakunipenda huwezi
Kukicha alfajiri unaidanganya siri
Mabaya yako uyaache
Umevunja nadhiri kunipena mimi
Labda uchungu ukukamate
Umekumbwa na nini ama mdudu jini
Mbona unanifanya nidate
Hata salamu nikikupa unanichunia
Marafiki zako akina Doni Masha na kina Lokole
Insta mnanichamba mnasema eti mmenipatia
Na ni nguvu sina
Nitakusahau
Nitakusahau
Nitakusahau
Nitakusahau
Ila bado siamini upweke wangu
Nakesha ndani kama nini peke yangu
Nina michale kama jini mwilini mwangu
Nife nifukiwe chini niende zangu
Ila bado mimi nangoja
Kama utarudi basi
Uje uniondoe simanzi utaniua
Marafiki zako akina Doni Masha na kina Lokole
Insta mnanichamba mnasema eti mmenipatia
Na ni nguvu sina
Nitakusahau
Nitakusahau
Nitakusahau
Nitakusahau
Nitakusahau mazima nisikuone
Nitakusahau nitakusahau kipenzi
Naona umeshapanda dau
Watch Video
About Nitakusahau
More MAVOKALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl