Chonde Lyrics
Chonde Lyrics by LOMODO
Nahisi wewe ndo wa kwanza
Na wa mwisho kwenye dunia
Maana furaha yangu
Umeibeba umeibeba
Unanilea ka kichanga
Unanibembeleza najilalia
Usijeniacha peke yangu
Solemba solemba
Naridhishwa na yako mapenzi
Unanikosha roho
Na kukutenda mi siwezi
Mi nawe goma roho
Tena mapenzi siri
Mapenzi uvumilivu
Ukinipenda nami kakupenda
Hio inatosha
Usijeniacha pindi nikikosa
Chonde chonde chonde
Mi ni wako usinihesabu makosa
Chonde chonde chonde
Kunipenda tu hio inatosha
Chonde chonde chonde
We ni wangu, my baby baby baby
Chonde chonde chonde
Chunga kuna wavimba macho na vigagura
Mabarobaro wauza sura
Wasijekukuteka ukaniacha bila
Oooh bila
Naona raha zaidi
Nanogewa utamu utamu
Nipe yote nifaidi
Usiongeze mwingine utaleta jam
Usijebadilika mama
Mi mgonjwa wako tayari kwenye machela
Mapenzi yanauma sana
Ooh darling, ooh darling
Naridhishwa na yako mapenzi
Unanikosha roho
Na kukutenda mi siwezi
Mi nawe goma roho
Tena mapenzi siri
Mapenzi uvumilivu
Ukinipenda nami kakupenda
Hio inatosha
Usijeniacha pindi nikikosa
Chonde chonde chonde
Mi ni wako usinihesabu makosa
Chonde chonde chonde
Kunipenda tu hio inatosha
Chonde chonde chonde
We ni wangu, my baby baby baby
Chonde chonde chonde
Watch Video
About Chonde
More LOMODO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl