Moyo Lyrics
Moyo Lyrics by KAPASO BKP
Ah, Chunchuu eeeh
Shiiii
Beberuuuu
We ngoja nimwambie nisikilize
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hamuoni skuizi mwenzenu niko Bize
Hata vijiweni maskani mi skai
We ngoja nimwambie nisikilize
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hamuoni skuizi mwenzenu niko Bize
Hata vijiweni maskani mi skai
We jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
We mana upumbavu wako moyo wangu utaniuwa bure
Oooh jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
We maana upumbavu wako moyo wangu utaniuwa bure
Eti ndugu una mpenzi au mpenzi wako mtazamaji
Una mchumba au ndo ivo umebaki na sebule
Una mpenzi siku nzima simu ameweka chaji
Una mchumba hakucheki mpaka umcheki wewe
Fadhili ona mapenzi mama nyoko
Yanafanya nadeka kama mtoto
Kumuacha siwezi changamoto
Nakula vya utandu mpaka makoko
Siwezi kuchunguliwa na mtu mwengine Yeye nishamzoea
Mnayosema nimerogwa mi nakuabali mana najionea
We jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
We mana upumbavu wako moyo wangu utaniuwa bure
Oooh jamani moyo moyo moyo rudi tena shule
We mana upumbavu wako moyo wangu utaniuwa bure
Aya Twende mbengele mbengele mbangala mbangala mbangala pwata pwata
Mima mtamu kashavulugwa kajizima data
Mbengele mbengele mbangala mbangala
Mbangala pwata pwata we Gigi kashavulugwa kajizima data
Mbengele mbengele mbangala mbangala
Mbangala pwata pwata mchawi jambo wemevulugwa wamejizima data
Mbengele mbengele mbangala mbangala
Mbangala pwata pwata madada mama
Kala hasara wamevulugwa wamejizima data
Aya Ona juu ya meza yupo,Kwa dj yupo
Kwa weita yupo ,Kwa camera man yupo
Ukienda Mikumi yupo ,Kwa kapaka yupo
Na masaki yupo ,Mpaka Uswahilini YUPO
Ivi ushawahi kumuona mende
Ndo kaganda kwenye ukuta wewe
We kitumbua ukirambe utacharuka wewe
Maajabu ya Chura tope kapagawa wewe
Yani aifinyie kwa ndani utapagawa wewe
Fadhili ona mapenzi mama nyoko yanafanya nadeka kama mtoto
Kumuacha siwezi changamoto nakula vya utandu mpaka makoko
Ooooohooooo
Shiii beberuu
Kapaso hapa genius from Tanzania
Aah Wanang wa BKP BRAND
We don mendez Kaiza raden
Wanakusalimia wakali wa road we chazi boy
Mtu kama chajero anakusalimia
Side P Paulo We Jafari wa Uswazi
Aiii mitoto ya kwa dumba
Bamkwe we the Don anakusalimia big boss ras
We Kev Touchez Aiii mamaaa
Watch Video
About Moyo
More KAPASO BKP Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl