LOMODO Zamani cover image

Zamani Lyrics

Zamani Lyrics by LOMODO


Uliniacha niacha
Ulinikataa kataa
Ulinishinda
Mimi nawe tulishindwana
Oh nilipata pata
Ukapata pata
Nami nimepata yule tunaependana
Iwelo leo hii
Wazisambaza habari
Kisa kuniona nina pendwa
Nawe umeachwa solemba
Nakama ni mapenzi
Siyalikuaga zamani mi nawe
Kwanini unanichoresha choresha ah
Natumechoka jumbe zako fake
Ulizo screenshot
Kipindi hiko tuna date
Hukuifuta tarehe
Ndani vichekesho kama joti
Penzi la pepea full mlingoti
Tulio pandishwa uwezi tushusha
Wajisumbua bure

Mapenzi mimi na wewe
Yalikuwaga zamani
Basi koma kunifatilia
Yalikuwa ni zamani
Oh Mapenzi mimi na wewe
Yalikuwaga zamani
Basi koma kunifatilia
Yalikuwa ni zamani

Kisima cha mapensi ulikichafua
Ukaoga na kufua
Iweje unayataka maji
Kwa majungu mtaji uuh wee
Iliyonyauka imechanua
Ilipata wa kumwagilia
Hivo leo namvika taji
Nampa dibaji liiyeee
Na mapenzi nawe sitaki (sitaki sitaki)
Na kunifata fata iwe basi (iwe basi basi)
Oh Na mapenzi nawe sitaki (sitaki sitaki)
Oh Na kunifata fata iwe basi (iwe basi basi)
Natumechoka jumbe zako fake
Ulizo screenshot
Kipindi hiko tuna date
Hukuifuta tarehe
Ndani vichekesho kama joti
Penzi la pepea full mlingoti
Tulio pandishwa uwezi tushusha
Wajisumbua bure

Mapenzi mimi na wewe
Yalikuwaga zamani
Basi koma kunifatilia
Yalikuwa ni zamani
Oh Mapenzi mimi na wewe
Yalikuwaga zamani
Basi koma kunifatilia
Yalikuwa ni zamani

Watch Video

About Zamani

Album : Zamani (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jun 08 , 2023

More LOMODO Lyrics

LOMODO
LOMODO
LOMODO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl