Ujana Lyrics
...
Ujana Lyrics by HARMONIZE
Bombo claaat
Kimambo
Yow, yow
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje eh (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Kuna muda naweka malengo
Nikizipata nimiliki mjengo
Niwekeze, niwe na kitengo
Bosi, nikifa' niache pengo
Ila pisi hizo, pisi hizo
Nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi hizo, pisi hizo
Nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe hizo, pombe hizo
Nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe hizo, pombe hizo
Nikiziona moyo unadunda tena)
Jamani moshi huo, moshi huo
Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo
Nikiiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka hiyo, mikeka hiyo
nikiiwaza moyo unadunda tena)
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje eh (Ujana upoje)
Ah, ujana upoje (Ujana upoje)
Kitoto cha 2000
Huko nyuma kilivyo nawiri
We huogopi?
Huogopi?
Anataka twende mara mbili
Pekupeku bila kandambili
We huogopi?
Huogopi?
How can I keep my money?
Wenzangu wapo batani
Ujana kitu gani?
Mbona kila kitu natamani?
Pisi hizo, pisi hizo
Nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi hizo, pisi hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe hizo, pombe hizo
Nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe hizo, pombe hizo, nikiziona moyo unadunda tena)
Jamani moshi huo, moshi huo
Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena)
Weh, mikeka hiyo, mikeka hiyo
Nikiiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena
Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiiwaza moyo unadunda tena)
Hivi ujana upoje (Ujana upoje)
Ujana upoje (Ujana upoje)
Hivi ujana upoje eh (Ujana upoje)
ujana upoje (Ujana upoje)
Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo!)
Eh (Dobi, dobi)
Vijana kuvawa nowe waiyo (Waiyo, dobi, dobi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (Waiyo, dobi, dobi)
Jamani moshi huo, moshi huo
Nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi huo, moshi huo, nikiuona moyo unadunda tena
Bombo claat
The Mix Killer
Watch Video
About Ujana
More HARMONIZE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl