Antonia Lyrics
Antonia Lyrics by ABBAH
Antonia, Antonia
(Sound by Abbah)
Antonia, Antonia
Ningalikuwa na uwezo ningekujengea nyumba
Na kukununulia gari, gari la upendo
Ama nipulize kitezo, nikurogezee dumba
Wanga wakupikie mbali, unizidishie pendo
Maana mapenzi kidonda
Hata nikipona litabaki kovu
Sitaki mawazo kukonda
Kesho nikikuona nianze toa povu
Maana moyo unaona vya ndani
Ambavyo hata macho yahawezi kutazama
Hivi ni kweli utakuwa nami
Leo na kesho mtondogoo kiama?
Will you be my wife? Antonia
Will you be my wife? Antonia
Angu ni nyako nakupenda sana (Antonia)
Will you be my wife? Antonia
Will you be my wife? Antonia
(Eeeh will you be my wife? Antonia)
Wanasemaga hasara roho pesa makaratasi
Majumba na magari yao, wengine hata ni ya miradi
Baby wasiwasi ndo akili sio kama natabiri
Hio sio moja, sio wa pili, hivi ni kweli utasubiri?
Maana mapenzi kidonda
Hata nikipona litabaki kovu
Sitaki mawazo kukonda
Kesho nikikuona nianze toa povu
Maana moyo unaona vya ndani
Ambavyo hata macho yahawezi kutazama
Hivi ni kweli utakuwa nami
Leo na kesho mtondogoo kiama?
Will you be my wife? Antonia
Will you be my wife? Antonia
Angu ni nyako nakupenda sana (Antonia)
Will you be my wife? Antonia
Will you be my wife? Antonia
Abbah your sound so crazy
Konde Boy Jeshi
Yeah yeah
(Sounds by Abbah)
Mixed by Simon
Watch Video
About Antonia
More lyrics from The Evolution album
More ABBAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl