
Teleza Lyrics
Teleza Lyrics by ABBAH
(Sounds by Abbah)
Ukihustle usihustle na umama
Niko club na madem wadunga akala
Aii jo ngoko hio ni blanda
Kuna vile alenjandro hatakumanga
Hata nimekosa leo kukumanga
Itabidi tumefanya kama kawa
Ka amechapa mnyime namba
Ka ameiva utamwaga
Leo form ni waroro wa ulaya
We si malaya so ni sawa
Chuma nishaosha mi nalala
Nang'orota nikiota juu ya shada
Nyweee teleza teleza
Teleza teleza, teleza teleza
Nyweee teleza teleza
Teleza teleza, teleza teleza
Mmmh bembeleza, bembeleza, bembeleza
Mmmh bembeleza, bembeleza, bembeleza
Ee bana ee mapenzi shingapi?
---
---
Watch Video
About Teleza
More lyrics from The Evolution album
More ABBAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl