Nishazama Lyrics
Nishazama Lyrics by ABBAH
Mmmmmh mmh (Abbah)
Ah baby baby baby eh
Unafeel aje baby baby eh
Ah niambie niambie niambie
Umeshindaje niambie niambie
Ah niongeze niongeze mapenzi matamu dawa
Wanasema umeniroga mi kwako zoba sawa
Nidekeze nidekeze hili penzi walikome chawa
Hata wakisema umeniroga, sawa
Usinitende vitu sio
Kwani mi mwenzio kwako we ni kiwete
Ah taabani mi mwenzio, siuwezi upweke
Usifanye vitu sio
Kwani mi mwenzio moyo wangu mteke
Ah taabani, mmmh baby
Nishazama!
Nishazama mie
Nishazama!
Nishazama mie
Watakuja na mavogi vogi vogi dunia
Wakuzuzue eeh
Unimwage jua nitaumia
Wakutue eeh
Mapenzi nipende nikupende nikichukia vita
Tusifikie huko, aah itafifia picha
Washezi tuwatende, tuwatenge wapasuke vichwa
Tuwatupie huko aah wasiharibu picha
Usinitende vitu sio
Kwani mi mwenzio kwako we ni kiwete
Ah taabani mi mwenzio, siuwezi upweke
Usifanye vitu sio
Kwani mi mwenzio moyo wangu mteke
Ah taabani, mmmh baby
Nishazama!
Nishazama mie
Nishazama!
Nishazama mie
(Abbah)
Watch Video
About Nishazama
More lyrics from The Evolution album
More ABBAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl