Weka Mbali Na Watoto Lyrics
Weka Mbali Na Watoto Lyrics by ABBAH
Weka mbali na watoto
Mbona uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto
Mbona uweke mbali na wato
Marapper siku hizi hawajishabikii
Wanashabikia mimi na mimi siwazimii
Wanatake time na vyote mama flow
Wala zwepe mama zeze na matoes
Ni mapepe ni mateke na mados
Niko na makeke na maseke ya dos
Hujui mimi ndo oversize rapper
Oversize flow mnaiomba kwa ibada
Ma rapper mi nawanywa over chai sasa
Nikiwa nabaki mdomo over chai jaba
Aah zaidi yao, wacheze na watoto mi sio size yao
Aibu yao, nishaua rapper wachukue maiti yao
Na wangekuwa mimi wangesumbua
Ila ningekuwa wao hakika ningezingua
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Way back, naskia umeanza rap way back
We ni mwanga na unadai verse zangu ni dark
So naskia unaenda na time, mi hufanyi crime
Sina swaga unatangaza ni whack
Nigga unaanza kudab wewe mi sijui ila tajiri
Unaamini kumbavu wewe
We si mkali alafu unamaliza soli
Wakati kwenda popote mi naita chap mwewe
Zamani nilikuwa rapper hardcore
Siku hizi napiga bars hadi beat ya kidalipo
Napiga show kali na so na make doh
Nakalisha paka bolingo wanaomba hadi po
Mi sio rapper wa misingi nataka shilingi
Nikipiga ngoma moko nimesepa na kilingi
Niache utoto mwingi nimeshakuwa dingi
Kila mtu anataka tuzo saivi nguzo ni upimbi
Danga marapper nawakata kata pila
Saka unachotaka na unapopata wataanza hila
Ila Mungu ndo anabless nigga, yes nigga
So chunga level zangu usizitest nigga
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na toto sio makuzi
Maana dude ni hatari zaidi ya -- movie
Wanachanika nawashow nakaa nyuzi
Nawaskia wakilia nisamehe ka mbuzi
Ushajaribu kuingia mitaa bana
Pita kila nyumba kuna rapper anachana
Wanaamini watatoka wakifail wanabana
Mziki umeajiri wengi mpaka fania inafanya
Si uwongo hii ni serious men
Siku hizi wadau wanataka business men
Hiki chama chama waki mtachezea sana moto
Hili dude hatari uweke mbali na watoto
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Weka mbali na watoto, bora uweke mbali na wato
Watch Video
About Weka Mbali Na Watoto
More lyrics from The Evolution album
More ABBAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl