Nani Lyrics
Nani Lyrics by ABIGAIL CHAMS
Mmmh baaaad
Shiiii
Nampenda mmoja sitaki mwingine msiniwaze
Namtaka mmoja simuhitaji mwingine msiniwaze aaah
Ah nalia nalia naliaga
Akini nunia napagawaga
Nalia nalia naliaga
Akini susia nachachawaga
Hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila haka kadada
Nampenda nampenda msichana mmoja
Mweupe kidogo
Mweusi kidogo
Nampenda nampenda (Nani)
Mweupe kidogo ( Nani)
Mweusi kidogo (Nani)
Shiiii
Hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila haka kadada
Mmmmh
Ananirusha roho
Ananirusha roho
Ananikuna kuna
Ananirusha roho
Anavyopita ananukia kama malaika
Ndo huyo shem wenu
Anavutia kama malaika
Ndo huyo shem wenu
Hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila huyu kijana
Nampenda nampenda msichana mmoja
Mweupe kidogo
Mweusi kidogo
Nampenda nampenda (Nani)
Mweupe kidogo ( Nani)
Mweusi kidogo (Nani)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendaga
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila huyu kijana
Watch Video
About Nani
More ABIGAIL CHAMS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl