Kubali Lyrics
Kubali Lyrics by IBRAH NATION
Young legendary
One time for my beiby
Wooah aah yeah, aah
Kama ukikubali
Kila kitu nitakuweka wazi
Ukikubali
Nikupeleke kwa wazazi, yeah
Aaah...
Nitafurahi kama ukikubali
Nitafurahi kama ukikubali
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Aaah...
Nitafurahi kama ukikubali yeah
Nitafurahi kama ukikubali, yeah
Kivipi niumie?
Wakati we unajua kunibembeleza
Ukitaka nitulie
Nipe love, nitakudekeza
Jua mapenzi kikohozi(aah)
Na kuyaficha mi siwezi, yeah
Na wewe unapotezea
Hupendi nikikuambia
Mwenzangu unacho ng'ang'ania
Tuwe marafiki yeah
Nitawezaje mama?
Wakati unanipenda sana
Na mimi nakupenda sana
Tunadhulumu nafsi
Kama ukikubali
Kila kitu nitakuweka wazi
Ukikubali
Nikupeleke kwa wazazi
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Aaah...
Nitafurahi kama ukikubali yeah
Oooh, nitafurahi kama ukikubali
Kwako mi ni kilaza
Sina pause, sina swagga
Vipi ma ukinimwaga?
Nitaumia nitaumia
Mi bahari yako nimezama
Oooh baby mama
Usije ona kama
Mpita njia, mpita njia
Jua mapenzi kikohozi
Aaah...
Na kuyaficha mi siwezi
Aaah...
Kama ukikubali
Kila kitu nitakuweka wazi
Ukikubali
Nikupeleke kwa wazazi
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Ukikubali, bali
Nitafurahi kama ukikubali
Aaah...
Nitafurahi kama ukikubali yeah
Oooh, nitafurahi kama ukikubali, yeah
Watch Video
About Kubali
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl