Unaniweza Lyrics

JUX | Bongo Flava,

Unaniweza Lyrics


(Abbah)
Mlio ukicheka wee
Mi moyo unanitabasamu
Huyo mwenye kujihisi mwororo

Ila ukilia we 
Hata kula nakosa hamu
Huo mwenye kujihisi dororo

Ukiwa karibu na mie 
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali beiby 
Baridi linachoma

Uwepo wako na mie 
Umetia fora
We ndo dakitari 
Beiby nikutaka pona

Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza

Sitamani mwingine
Wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto
Moto moto

Labda uvito shetani mwingine
Maneno ya watu nishazoea I dont care
Kila kukicha choko choko
Choko choko

Unavyonipa raha
Tu nanenepa mie
Penzi lako natinga 
Naringa nambembea eeh

Kinachokufaa usisite niambie 
Kwako niko radhi 
Hata zege nibebe 
Machinga ninadishe 

Ukiwa karibu na mie 
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali beiby 
Baridi linachoma

Uwepo wako na mie 
Umetia fora
We ndo dakitari 
Beiby nikutaka pona

Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza

Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza

For love, I do it for love
Unaniweza weza

 

Leave a Comment