Sugarcane Lyrics
Sugarcane Lyrics by JUX
Nasema njoo njoo my boo
Nikupe kipendacho roho
Umenivuruga hamu so full
Nisikize mimi nikupe show
Kam kam nikupe tam tam
Tupeane zam zam
Nateseka na love love
I love the way you shake
You ghetto to rest
Maybe test
Ni balaa
Wana maneno shombo ni kinyaa
Mahaba niuwe kishujaa
Kwenye shida na raha
Vile utakavyo mi nafaa
Mlimbwende we ni kifaa
I feel so good the way you do
Mimi nikiwa nawe nipe tena round two
All eyes on you
Nataka niwe nawe tu beiby
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Sitakuchezea mama tutadumu
Kulinda penzi lako kwangu ni jukumu
Wapoteze watakupa sumu
Kisha togombane mama una vumu
Mapenzi matamu yako magumu
Sitaki nikosee kesho unihukumu
Mapenzi yote weka humuhumu
Usije nipiga chini nitakunywa sumu gal
Nishakuwa na wewe yeah ah
Wewe umeniweza
Sioni mwingine zaidi ya wewe
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Kamua kamua
Kamua kamua
Kamua kamua
Kamua kamua
Fumba kama murder scene
Ugonjwa wangu nipe medicine
Nabaki kuja I want again
Nisambaratishe bila deni
Nibadilishie ego girl
Hali yangu si magendo
Mjengo mpya sisi wageni
Tuna majirani ni noma ne
Rock your body(Rock)
Rock your body
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Watch Video
About Sugarcane
More lyrics from The Love Album album
More JUX Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl