Professor Lyrics by YOUNG KILLER MSODOKI


Wanaonijua sometime wananiita professor
Nikishatua tu wanashusha mapressure
Kijana wa locktowns wakati na action
Kama director vavyo ziacha lama zaidi ya tractor

Hasa hawashiki hii ya moto ndugu
Ukomavu hadi naitwa sugu
Movie ndo linaanza kama hauwezi kubaki move
Mafunzo tushafuzu, usishike utakata uzu
Natiririka kama maalimu kaidaka juzu

Kila siku ni kuu, tunasahau shida
Na furaha yetu ni ndefu kama shingo ya twiga
Mezani baada ya kushiba mipango na ratiba
Kisha tunapiga salute unaweza ukasema Kiba chini

One step ahead kila kunapokucha
Kila tunapogusa ni kila tunaposhusha
Ni kila tuwapo fursa ni kila tunaponusa
Ni kila sehemu maajabu yaani kama fimbo ya Musa

Si hate kuwa inspired
Watu wana chuki na kuketi wameshatired
Acha kutia salary
Fuata ya Yesu na ya Mtume Mohammed
Baada mzani mambo yawe standard

Hey is there lucky yaani utake hautaki
Na mwendo wa yero suvai kama tuko babati
Yaani kama tuko na Biggy alafu tuko na Pac
Maisha ni yangu mwenyewe kwani tuko wangapi?

Wanaonijua sometime wananiita professor
Nikishatua tu inakuwa processor
Sound ya kijiji tayari weka mbali na watoto wenye presha
Na ikiboss yaani kama baresa
Na of course Msodoki best voice
Choice ya wapenda haki so you better make some noise
Ka unazingatia itifaki
Pa kuingia ni kata--- ni bati
Na ukiona amefunguka basi cha kufuatia ni nati

Yoh, - gon shine love is in the air
Utamjua ukweli kolea
Oh yeah rada haya ujue kulijenga
Ujue kuogelea ndo tulichofunzwa tangu chekechea
Sio umbea tega sikio, hivi ndo vitu vya kushare
Usikae mbali kama unataka kujoin nami sogea
We don't care maisha ndo haya hakuna mengine

Kama unatuaminisha we ni jembe kalime
Si tunaishi sio kuishia
Tushikiane hisia, ukiskia shangwe kwa wingi
Mwanaume ndo anayeingia
Macho yetu kwenye kazi hakuna wa sinzia
Vizuri uone mwenyewe usiamini kwa kusikia

Uliyemwambie asiniambie huyo ndiye aliyenijuza
Tulia usijifanye mwalimu, sehemu ya kujifunza
Na hata siri ya Kiba, ndio maana inatunza
Uliyemwamini ndiye atakayekosha na kusunza soo..

Kujikubali mwenyewe inatosha
Snitch ukimfanya ndugu ni bonge la kosa
Atakuchekea usoni kisogoni atakuchekesha
Njia mbele matamu zaidi ya tulivyoota

Toka udogo mambo hayajakuwa simple
Japo wahuni wanaosonga ugali kwa kijiko
Unaweza ukaekelewa ka unajisomea disco
Ile siku ambayo niliwish ndio leo nipo

Kiongozi mkombozi mzee wa kuwagea dose
Of course hawalali ka wamelalia ngozi
Haya mapenzi hayajifichi ka mapenzi kikohozi
Yaani uuhaha kama mlio ya lozilozi

Am sorry my name ni Erick, Kendrick
Voice ya mtaa we nigee beat
Ukitaka  niwachore we nigee Bic
Nigee tick, nigee kitu 
Ukitaka ninyonye we nigee titi
Mmmh mwaaah, hehe, hey bwana

(Bin Laden)

Watch Video

About Professor

Album : Professor (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 13 , 2021

More YOUNG KILLER MSODOKI Lyrics

YOUNG KILLER MSODOKI
YOUNG KILLER MSODOKI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl