Mhudumu Lyrics
Mhudumu Lyrics by ASLAY
Naamini we ni wangu mke wangu
Nimemiss kukuona kwangu
Kipenzi changu
Nitaficha wapi sura yangu
Kwa walimwengu
We ndo msiri wangu kipenzi changu maiyo
Chaguo langu ni wewe si unajua mama
Ukiniacha mwenyewe utaniumbua sana
Tulipotoka ni mbali si unajua mama eh
Katikati ya safari utaja niua bwana
Wewe na mimi baby tuzikwe wote
Nife uniokote nikuokote
Sasa kwa nini unaruhusu nichekwe
Mkono kaunyea mtoto usiukate
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Mmhh Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Acha nilewe nilewe tuu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tuu
Nimekuwa mchafu tangu uniache wewe
Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe
Wananiita mkangafuu silali mpaka nilewe
Fanya urudi baby nitakufa bure
Kosa gani lisilo sameheka baby
Niamini nimejirekebisha baby
Jirani mama shani anavyokukumbuka baby
Rudi nyumbani mumeo ninakuita baby
Wewe na mimi baby tuzikwe wote
Nife uniokote nikuokote
Sasa kwanini unaruhusu nichekwe
Mkono kaunyea mtoto usiukate
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Samahani Waiter ongeza glass
Eh muhudumu ongeza glass
Acha nilewe nilewe tuu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tu
Eh nilewe nilewe tu
Acha nilewe nilewe tu
Nilewe nilewe tu
Watch Video
About Mhudumu
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl