Hutegeki Lyrics
Hutegeki Lyrics by ASLAY
Mmh sawa, mi sio hadhi yako
Ila moyo ndo umekufa kwako
Ni mbaya izo kauli zako
Eti mimi mtungi haruki jogoo
Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa duu unanikataa
Unanichuna chuna tu vipesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa mmh, unanikataa
Nipende ata kwa kudanganya mama
Ukiniacha sitakuja kupenda tena
Si kwa manati, si kwa mkuki
Kwa bastola yeyee
Hautegeki (Wo wo wo wowo) hautegeki
Ata kwa sila gani mama, hautegeki
Oh napata taabu wewe, hautegeki
Ulinilaza gesti
Nikapiga simu sikupati
Baby mbona mkorofi
Na kwanini unafake promise, hautegeki
Na jinadi nikiwa na wenzangu
Kwamba we ndo mke wangu
Ila anajua Mungu
Shida nazopata
Kwako wewe wewe
Aki ya Mungu nadata
Kwako wewe wewe
Nishakupa unachotaka
Mara unanitukana
Ukiwa na wenzako unataka sifa yaani
Sababu kidogo unataka tugombane
Izo tabia za samahani honey tutakosana
Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
Nikashupaga pesa tu unanikataa
Unanichuna chuna tu vi pesa vya mkaa
Nikishakupaga vipesa mmh unanikataa
Nipende ata kwa kudanganya mama
Ukiniacha sitakuja kupenda tena
Si kwa manati, si kwa mkuki
Kwa bastola yeye
Hautegeki (Wo wo wo wowo)
Hautegeki
Ata kwa silaha gani mama
Hautegeki
Oh napata taabu wewe
Hautegeki
Mara kunitukana
Ukiwa na wenzako wataka sifa yaani
Sababu kidogo unataka tugombane
Izo tabia za samahani honey tutakosana
Watch Video
About Hutegeki
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl