
We mzuri Lyrics
...
We mzuri Lyrics by Sadimu
We mzuriii unajua
We mzuriii unajuaa ah
We mzuri unajuaa aa ah
We mzuriii unajua aaaa aaah
Kama penzi la nyota mimi mzani yeye mshale
Naona kama masifa akiwa nyuma mi niko mbele
Moyo unasokota mpenzi wangu akiwa mbalitena sinaga pupa
Maana na najua kumkuna kipele
Hohoooo ooooh
Nachokuomba baby niombe pesa
Hata kama sina takukopea
Penzi lako tamu laninogea
Kwenye moyo wangu ushaingia
We ni wangu baby we ni wangu aaah
Mi ni wako honey mi wako aaah aah
Nidekeze kwenye penzi letu
Nikudekeze aah aaah
Nifungie kwenye moyo wako
Nikufungiee aaaah
We mzuriii unajua
We mzuriii unajuaa ah
We mzuri unajuaa aa ah
We mzuriii unajua aaaa aaah
Vita ni kubwa wanataka wakuibe we kipenzi changu
Vita ni kubwa wanataka wakubebe we kichunda changu
Na sijui ngumi ila nitakacho kifanya
Mbona mtakoma tajifunza soon
Ili nivune nazi nisibwage koroma
We ni wangu baby we ni wangu aaah
Mi ni wako honey mi wako aaah aah
Nidekeze kwenye penzi letu
Nikudekeze aah aaah
Nifungie kwenye moyo wako
Nikufungiee aaaah
Watch Video
About We mzuri
More Sadimu Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl