WEUSI Air Weusi cover image

Air Weusi Lyrics

Air Weusi Lyrics by WEUSI


Watoto wanainama kuokota
Kama hela imedondoka
Si tulisimama kuzifuata
Kama ndege inaondoka

Air Weusi, departure
Flight time, departure
Air Weusi, departure
Flight time, departure

I got ain't got a license so I can drive you crazy
Shawty nambadiki kitaa flani cha Mbezi
Shawty like Madee kamwaga pombe yangu
Kitaa flani cha Mbezi, Mbezi ya chini
Crazy lakini aah, akaniambia baby njoo na lighter
Leo nataka tuifanye kama cypher

Anapendaga threesome nikaleta Weusi
Tukabang three times akaja Bonta
Four time akaingia Lordy
So issa five time, show time
Ile saa likaamka dude
Tukacome ni balaa (Aah)

Watoto wanainama kuokota
Kama hela imedondoka
Si tulisimama kuzifuata
Kama ndege inaondoka

Air Weusi, departure
Flight time, departure
Air Weusi, departure
Flight time, departure

Flight time, flight time (Yeah)
Sina muda wa kujadili time (Yeah)
Kwenye hela mrembo hakosi time (Yeah)
Kina Kardashian wameniona Kanye
Wenye mimba za chuki ni wakanye,
Mkanye mkanye, mkanye superstar asijifanye
Umaarufu una mwisho hauna kamwe

Mr mabig chicks pakia bags ma
Air Weusi ndege imejaa manyota
Fasten your seatbelts
Shawty we fly high

Watoto wanainama kuokota
Kama hela imedondoka
Si tulisimama kuzifuata
Kama ndege inaondoka

Air Weusi, departure
Flight time, departure
Air Weusi, departure
Flight time, departure

As we proceed to give you what you need,
Ukaguzi wa kuingia kwenye hili pipa ni mkali
Suspect number one, snitch kaa mbali
Suspect number two, uchawa okay
Suspect number three, uchawi sawa sawa

Huwezi kwenda juu kama huna ramani
Airforce Weusi tunaishi hewani
Ukiingia kwenye hili pipa unaenda duniani
Sio kwenda mjini, unaenda duniani

I say ngumu kupanda, lakini ngumu ni kutua
Kila pass inazingatiwa, hakuna wa kubutuwa
Haitishwi na mawimbi hii sio mashua
VIP tupo majita na ndio washua

Watoto wanainama kuokota
Kama hela imedondoka
Si tulisimama kuzifuata
Kama ndege inaondoka

Air Weusi, departure
Flight time, departure
Air Weusi, departure
Flight time, departure

Upasspoti kwenye begi kuna peni, kuna vyeni
Kuna ten millioni kwenye small cases
VIP niko peace, me na pisi fulani kali
Nikipee mdomoni nigga no offences
Maduu wanarushwa kwenda juu ya mawingu
Futi fulani sio mambo ya kurushwa fences
Ronaldo kwenye rap biti ikiwa boombop
Nikitua unajua me nafanya messes 

Aah! Latua kwenye maji pia kwenye lami
Ndege hili la bata pia la vitani
Huwezi ukawasikia rapper dummy dummy
Ikiwa kuna shari latua nikani (Hatua vitani)

Kiwanda ni cha mtaa
Hili ndege lilikopaa kutoka sinoni (Kutoka sinoni)
Madini mpaka kung’aa ni
Mpaka umekomaa yatoke shimoni (Yatoke shimoni)
Ndege linakopaa inamaanisha kaba baa sishuki motoni
Ooh Air Weusi

Watch Video

About Air Weusi

Album : Air Weusi (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 12 , 2021

More lyrics from Air Weusi album

More WEUSI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl