Iko Mambo Lyrics
Iko Mambo Lyrics by WEUSI
Samahani
Namba unayopiga umepigwa
Iko mambo, iko mambo hapo
Eeeh... eeh eeh eeh eeh
Sexy sexy Angelina,
Sexy mama I’m the winner
Roho mbaya mama huna
Umezama mzima mzima eeh
Eeeh... eeh eeh eeh eeh
Nikajua kikoba dunduliza
Nikaanza kingi kukuingiza
Vipi fremu ya duka Sinza
Nifuate mzigo china si kuagiza
Na vile penzi sikuagiza
Pesa kwangu ukaziingiza
Nikampa namba ya China
Kumbe namba ya kichana
Samahani
Namba unayopiga umepigwa
Iko mambo, iko mambo hapo
Eeeh... eeh eeh eeh eeh
Iko mambo, iko mambo hapo
Iko mambo, iko mambo hapo
Iko mambo, iko mambo hapo
Iko mambo, iko mambo hapo
Nipo kwenye DM najibu mashitaka
Vile anakesha akiview mastatus
Namba kazituma na mi sijazitaka
Vile kanifollow na mi sijamfuata
Eeeeeh iko mambo
Iko mambo hapo
Akatuma picha mrembo shata shata
Akili ikanituma kutaka kumkata
Nimetuma fungu tayari kalipata
Anakuja na taxi leo ataipata
Bado hajafika jogoo ameshawika
Iko mambo, iko mambo hapo
Nawamisi wale tuma kwa namba hii
Mapimbi mi nawaliza kinamna hii
Vile nawamarinati pale eey
Picha la Sanchoka kwa profile
Ndo linawaseti seti waje eey
Vile nawapeti peti pale eey
Wakisema tuma picha nashusha naweka
Wakitaka za utupu nashusha naweka
Na akitaka namba ndo mambo yamejipa
Hapo kuna saluni nauli kufika
Bado kuna kiepe kinywaji kutisha
Wakishatuma mkwanja tu namba imezimwa
Samahani
Namba unayopiga umepigwa
Iko mambo, iko mambo hapo
Eeeh... eeh eeh eeh eeh
Iko mambo, iko mambo hapo
Iko mambo, iko mambo hapo
Mara ka ex kanipigia
Isack siku hizi umenichunia (Mmh)
Kabisa umenitupa ka gunia (Eehh)
Siku hizi ni kama umetulia (Ahahaha)
Vipi una demu ushachumbia (Yupo)
Mambo ya ndoa sio ya kukimbilia (kabisa)
Na sijui nikuiite baby ama dear
(Niite pale pale tulipoishia)
Umemtupa jongoo na mti wake pia (Usijali)
Mara moja moja uwe unanipigia (No way)
Mume wangu ameingia nitakupigia
Samahani, ndoa uliyofunga umefungwa
Eeeh... eeh eeh eeh eeh
Iko mambo, iko mambo hapo
Iko mambo, iko mambo hapo
Watch Video
About Iko Mambo
More lyrics from Air Weusi album
More WEUSI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl