Penzi la Bando Lyrics
Penzi la Bando Lyrics by WEUSI
It's S2kizzy beiby)
Dollar dollar bills yoh
Dollar dollar bills yeah
Nikikata wanapanda hewani wengine (Bando)
Unadata na hauna mtandao mwengine (Bando)
Kama haumtii wanamtia wengine (Bando)
Unatumia mtandao mmoja au unatumia miwili (Bando)
Mwanaume akidata na kifurushi (Bando)
Mtoto ndo anapata kifurushi (Bando)
Naskia kufa kufa wapi ufufuo? (Bando)
Ushachezea buku huoni ufunguo (Bando)
Ulipewa penzi fupi kifurushi cha chuo (Bando)
Mtie vocha mtie aende makosa (Bando)
Ukitext wapi hayo ndo makosa
Unaulizia mafuta nenda kwa mamposa
Penzi la bando bando
Mapango ya kando kando, hivi jambo
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando, penzi la bando
Penzi la bando, penzi la bando
Namtia mi nina vocha kifurushi kwa johari
Siogopi kutoa bando baba, bando sio mahari
Kitu staki ni kutopatikana (Bando)
Nakaa hewani kama pilot bana (Bando)
Mtoto hakupi muda bila muda wa hewani (Bando)
Huwezi mtoa sebuleni kuelekea chumbani (Bando)
Mtesa leo anakuja spidi ka ana maruani
Kwa bando napandishwa kotini kitanda (Bando)
Kwa bando wengine walishavishwa sanda (Bando)
Taa mahusiano kibao njia panda (Bando)
Mtandao ukishuka shetani anapanda
Na hapo ndipo VPN chati ilipanda (Bando)
Penzi la bando bando
Mapango ya kando kando, hivi jambo
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando, penzi la bando
Penzi la bando, penzi la bando
Ties la kwanza uhuni blueticks (Bando)
Picha linaanza vijembe status (Bando)
No money no honey kitu colours (Bando)
Roadblock diversion, kutwa kushoto
Mtoto location inasoma ni magoroto
Na hapo ndio kichwa kinazidi kupata moto
Unageuka motivation speaker wa ghetto
Wakanye sana masela kuhusu mambo ya portals
Bando, Bando!!
Wanavijua vifurushi shinda amri kumi
Wanahama hata likiongezeka shilingi kumi (Bando)
Mwingine la biashara mwingine la pono
Mwingine la kutongozea mwingine la masomo
Bando bando langu wakabandua gogo
Vimemweka online na ukamuona vigogo
Sponsor kaseviwa jina ba mdogo
Na kule kwa sponsor ye mtoto wa ma mdogo (Bando)
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Wakati unaweka, mwengine limekwisha
Mwingine anamkomesha
Penzi la bando, penzi la bando
Penzi la bando, penzi la bando
Watch Video
About Penzi la Bando
More lyrics from Air Weusi album
More WEUSI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl