Mbupu Lyrics
Mbupu Lyrics by WEUSI
(Wanene)
Let me vibe with yah
City in the house
Eey Weusi eey
Ogopa teknolojia hauwezi kukata mkanda
Kanda zote zinatupenda toka enzi ya Kanda
Na bado tu mtasema tunaleta ukanda
I've been there done that hakuna blunder
Kama unaujua uchawi basi we ndo mganga
Eey rasta mweusi I'm in the area
Salad for days I'm a vegeterian
Nyeusi cha upendo wananiita carrier
My shit is classic ni level za neria
Nachia mlinde game kaeni sungusungu
Mikataba bila malawyer ni kizunguzungu
Mtakula donge nono la vidonge vichungu
Mayai mawili yaliyotoka wanasema ni mbupu
Sijaanza kuwakimbiza wanatoka mkuku
Kipande hiki hawakai mapanya wa buku
Hii kisa mbao utaskia wamechanjia muku
Huwezi nitabiri sijagi formal
Kila subira zina kikomo
Mi na subira sina kikomo
Kuichunga tabia chunga mdomo
Mtakuta kitabu jo ni kisomo
Hatuwapi sare hakuna mshono
(No no no no)
Papa don, mwamba code
Maendeleo ni tozi
Nafungua milango Lamboghini
Papa mlada gani ni sifa za ma JB
Hapa nyanyua vijana ndo mambo ya mjini
Njooni pamba kali bana sikai kabatini
Nazikeketa hizi shida kama wakuria
Maisha ya mjini huishia kwenye sufuria
Mbinu bora ya ulinzi ni kushambulia
Nina maspeaker ka mbunge siwezi tulia
Bei ya mkaa haiwezi fanana na gas
Kama huna majibu huwezi faulu kuguess
Kesi ya madoctor siwahusishi ma-nurse
Hakuna mwenye kinga ya kukinga bless
Na nipo juu ingawa nakanyaga ardhini
Sina uswahili ingawa nipo uswahilini
Najilipa kila mwezi sio kima cha chini
Za mwizi arubaini zangu ni thelathini
Ukimaliza kulia endelea na vita
Shetani akikupitia unamwambia pita
Tunakunja mahela hatukunji ndita
Simu tukizima watazimia sinyorita
Maflow ni juju power the black jack power
Adamu mtosha Hawa humu hamkai chawa
Moja hauwezi igawa ndio maana wanajigawa
Moja akiipata wengine wanapagawa
Hiki chama kigumu kushika hiyo power
Sifanyi kama kawa tulia lamba dawa
What comes first my people come first
Kama nikikosa kwa Mungu nitaconfess
Weusi Allstars haikwepeki Converse
Ukiridhika na mahindi hupagawi na cornflakes
Kwani ten ju 2010 we ni mtete
Uniite kijugu kinega ama mtefe
Bado matuu nawavuta ka mpepe
Na bado doh nazidaka ka ni mtele
Hamnaga mchugare wee
Hizi huwaga hazivumi wee hee
Hili juma Fatuma wee, wee
Naishi ndo nigumare (Alebumayee)
Unataka kuuza uza au unatafta maisha
Siwezi kuficha ficha na ndo mke wa maisha
Hiphop wanamshika shika afu hawawezi mfikisha
Na mimi nahakikisha coz pete nimemvisha
Yaani tundu limembana na mi ndo nafikicha
Yaani cha cha cha cha cha chaaa
Elekekeza shot kwangu pya pya pya pyoo
Niruhusu nitoe mbwa wangu woo woo woo
Utamu umebakia kweusi wanatema machicha
Mashe's ugly wauza sura naficha
Hii ndo ile tuition inakufundisha maticha
Watoto hawawezi chamba hio inakupa ishara gani
Huwezi kunya ukiwa umelala utajinyia kitandani
Na wazazi hatupendi hiyo vitafuata viboko yaani
Fimbo utaskia vijana wamerudi chimbo
Sitoka mbunguni tukiingia mshindo
We fanya mpango tu ukamate pingo
Uone kama utasema kuna binti maringo
Mki criticize mnafikisize, hamfiki size
Mkianalyze mnaselelize
Mkitelevise tunarealize kweli viazi
Wakati kina cha kubanga wakibangaiza
Maswala ni real estate na mabangaiza
Safari haisimami mjomba kwa nguvu za giza
Ni baraka za mwenyezi Mungu ndo amegonaga viza
Na hawawezi pongeza ukipata vema
So dawa yao ni kurudia tena
Nawarudisha shule mi mpata vema
Unajua kilichompata mkataa pema
Wee!
Watch Video
About Mbupu
More lyrics from Air Weusi album
More WEUSI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl