Usiyempenda Kaja Lyrics
Usiyempenda Kaja Lyrics by ROSA REE
Yeah!
(Jacko baby)
It's Rosa Ree
I'm the godess you can never be god
I gave you time to hit half of my boss
You came me for find Cardi do my Minaj
And so I still rule over fulltime
Wameshika adabu waliotaka kunishika
Wamekufa wote waliotaka kunizika
Alafu ka unaamini utaweza kunipita
Basi anza kuamini aliyekuzaa bikra
The best rapper but I dont say shit
Straight to the point like am regency
And non of them of them can do it like me
Mugamba wanaruka na kukanyagana
Unataka kwenda peponi unaogopa kiama
Mnajiita wakali mnadanganyana
Kwenye sherehe yao baa, kaingia Osama
Huh usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Nikisema nina nguvu za kiume
Kuna watu wanabisha
Ila kiukweli kuna muda na dick (Kiruu)
Na kama mnabisha bisha
Wanaume mnapakuliwa hivi nani anawapika?
Yoh na kwenye usawa huu utamwogopa nani?
Ukiambiwa naenda kula bata zangu Irari
Na huwa siogopi kutupa jiwe gizani
Ndo maana tawi la benki halina majani
All I do is use a p&ssy ass bitch
And I got a fat p&ssy up in my pants bitch
Go get a pass and get me rid at that itch
When I be in homelands go and get to the beach
Mugamba wanaruka na kukanyagana
Unataka kwenda peponi unaogopa kiama
Mnajiita wakali mnadanganyana
Kwenye sherehe yao baa, kaingia Osama
Huh usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Usiyempenda kaja, kaja
Wape taarifa usiyempenda kaja (Kaja kaja)
Mkiongea utumbo mi naongea paja (Kaja kaja)
Leo nawachinja kinagaubaga (Kaja kaja)
Uliyempa umbea huko nyuma kakutaja (Kaja kaja)
Kaja (Kaja kaja)
Kaja (Kaja kaja)
Watch Video
About Usiyempenda Kaja
More ROSA REE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl