Watatubu Lyrics
Watatubu Lyrics by ROSA REE
Watatubu, Watatubu, Watatubu
Leo lazima watubu
Kimbaombao akikonda ataitwa konda
Mademu wanagongwa milango inagongwa
Huku kwetu chura anameza anaconda
Ukitaka kitonga utapigwa bomba
Tafuta six packs watu tuna six figures
Ndo maana huwezi kuta nachill na fake niggas
Im a boss bitch wao ni ma gold diggers
Every time I spit I turn haters to believers
Umepewa lift mguu kwenye darshboard
Mtoto wa mama weka macho kwenye blackboard
I’m a rap god
On you ipod
Got a third leg, call me tripod
Leo tunakula nyama mbichi eh
Mistari imezama ndichi eh
Mlevi amezima switch eh
Ni Kwikwi eh
Ni Kwikwi eh
Watatubu, Watatubu, Watatubu
Leo lazima watubu
Watatubu, Watatubu, Watatubu
Leo lazima watubu
Ongeza chumvi me naongeza bidiii
Wenye damu ya kunguni me na damu ya nabii
Unajifanya haunijui utanijua raundi hii
Nikiamua napasua mpaka kioo cha jamii
Kopa hela kwa ndugu utengwe na ukoo
Na uone mambo mengi ka shimo la choo
Wakitishia ngumi me natishia koo
Nasimamisha dunia we simamisha mboo
Leo mambo ni mapana ka pazia la sinema
Pombe ni konki asifiwe mgema
Sitaki mambo ya kiseeee sengerema
Wana wametimba na hirizi zinahema
Leo tunakula nyama mbichi eh
Mistari imezama ndichi eh
Mlevi amezima switch eh
Ni Kwikwi eh
Ni Kwikwi eh
Watatubu, Watatubu, Watatubu
Leo lazima watubu
Watatubu, Watatubu, Watatubu
Leo lazima watubu
Watch Video
About Watatubu
More ROSA REE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl