ROSA REE Wana Wanywe Pombe cover image

Wana Wanywe Pombe Lyrics

Wana Wanywe Pombe Lyrics by ROSA REE


Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Lokota chupa, lokota chupa
Lokota chupa, lokota chupa

Si ‘tukiwa kwenye kiwanja  hatuangalii bajeti
Ukiagiza moja moja naagiza backeti
Waiter leta ngorongoro  ama serengeti
Kama maisha ni safari niletee kreti
Ukishalewa tembea kama una tege 
Alafu jifanye kama unacheze reggae
Ukiona demu mdanganye kama une ndege
Alafu akikupa nenda kamalize nyege
Ukipewa bia za bure usiziendee pupa
Maana utakuja kulewa ushikishwe ukuta
Na kama una stress nyingi we agiza chupa
Alafu aliyekuvunja moyo  kamvunje mifupa

Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Lokota chupa, lokota chupa (eeh na jacko eeh)
Lokota chupa, lokota chupa  (eeh na jacko eeh)

Myu mzima nkila hasara nashushia bapa
Huku kwetu kuna panya kamuua paka
Kiufupi pilipili imewasha data
Wazee leteni maji kunamtu kawake
Na tushamaliza bifu la pilau na gambe (Gambeee gambeee)
Tukitaka cha arusha anatumwa afanda (Afandeee  fande)
Uumu ndani tunakesha kama walinzi
Afu tumpendeza T-shirt na jeans
Tuna mambo meusi kama masizi
Unaweza kuta kichaaa anamcheka chizi

Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Waaa, wana wanywe pombe
Lokota chupa, lokota chupa (eeh na jacko eeh)
Lokota chupa, lokota chupa  (eeh na jacko eeh)

MMmhhh nikishalewa (gongooo)
Me sitaki kuchezewa (gongo gongo)
Nakata maji kama mamba (gango)
Leo kichaa amekate kamba (gongo gongo)
Mmhhh nikishalewa (gongooo)
Me sitaki kuchezewa (gongo gongo)
Nakata maji kama mamba (gango)
Leo kichaa amekate kamba (gongo gongo)

Watch Video

About Wana Wanywe Pombe

Album : Wana Wanywe Pombe (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Sep 21 , 2021

More ROSA REE Lyrics

ROSA REE
ROSA REE
ROSA REE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl