...

Aende Lyrics by RONZE


Hivi ushawahi kupata

Wakukuumiza kichwa

Wakukuchanganya eeeh

Hivi ushawahi japo kubahatisha

Wakukulishisha ukazama

Nyie wenyewe kuweza

Mtu unabembelezwa

Mixer kukandwa kandwa mmmhh

Unaseviwa kingereza

Anakudekeza alaf anakuganda aaaaaahhh

Jamani mepenzi

Kupendwa kuna raha zake oooh

Jamani mahaba

Mapenzi yanautamu wake, mwakee

Ukimpata wako pendana nae

Pendana nae usimuache aende aaahh

Ukimpata wako ng’ang’ana nae

Gandana nae usimuache aende

Alivyo alivyo anapendeza

Mungo kamuongeza

Kama ye hayupo

Mfano wapo haupo

Kanitengeneza zanzibar pemba

Ndo maana nipo, nipooo

Jamani mepenzi

Kupendwa kuna raha zake oooh

Jamani mahaba

Mapenzi yanautamu wake, mwakee

Ukimpata wako pendana nae

Pendana nae usimuache aende aaahh

Ukimpata wako ng’ang’ana nae

Gandana nae usimuache aende

Watch Video

About Aende

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : Apr 29 , 2025

More RONZE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl