RONZE  Haniachi cover image

Haniachi Lyrics

Haniachi Lyrics by RONZE


Haniachi
Ananipenda
Nami nampenda
Tunapendana
Mimi hanichoki
Akinifumania atanikumbatia

Motto wa mtu nimekwisha
Jamani nimeshikwa
Yule pale nampenda
Na anavyotptaka sifa
Sijasema anafanya
Mi sijaomba ananipa
Sita kwa sita my baby
Na amesema

Haniachi
Ananipenda
Nami nampenda
Tunapendana
Na kasemaaa
Mimi hanichoki
Akinifumania atanikumbatia

Sio yeye moyo ndo umesema
Hayooo hayooo hayooo
Sio yeye moyo ndo umesema
Hayooo hayooo hayooo

Ni nasema nayee
Siwezi kugombana nayee
Tunalia kwa mapenzi
Sauti za mapenzi
Aah usiku tulivu ni wewe tuu
Unaning’ang’ania
Manyunyu ya mvua
Unanikumbatia
Na amesema

Haniachi
Ananipenda
Nami nampenda
Tunapendana
Na kasemaaa
Mimi hanichoki
Akinifumania atanikumbatia

Sio yeye moyo ndo umesema
Hayooo hayooo hayooo
Sio yeye moyo ndo umesema
Hayooo hayooo hayooo

Watch Video

About Haniachi

Album : Haniachi (Single)
Release Year : 2023
Added By : Farida
Published : Jul 18 , 2023

More RONZE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl