...

Mapema Lyrics by RONZE


Kidy kudy

Ayu ayu yuyu

Ayu ayu yu nono

Hollah

Aiii

Napata raha yani huko ndani

Penzi kama limetoka kiwandani

Naserebuka tu na wangu honey

Aiii hollah mmmh no noo

Yani ananipandisha maruani

Maji ya kuoga yana kachumbari aah

Napewa chai kwenye kisahani

Aiii hollah mmmh no noo

Na rangi yake kama moto

Walimwengu wana jelous

Hawajui napendwaga

Ooh no mno

Anikumbate ka mtoto

Nibebwe machela

Maana kwa hayaa

Nitazikwa mapema

Hayaa nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Hayaa nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Ayu ayu yu nono

Wambea wametukosa

Tunavyo disappear kama harry potter

Hawaoni tunazidi kuwarusha roho, rusha roho

Tunakaribia kulipuka

Maana kwa mbio kama tumefungwa mota

Barazani acha watuweke vikao, vikao

Ona rangi yake

Na rangi yake kama moto

Walimwengu wana jelous

Hawajui napendwaga

Ooh no mno

Anikumbate ka mtoto

Nibebwe machela

Maana kwa hayaa

Nitazikwa mapema

Hayaa nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Hayaa nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Nitazikwa mapema

Ayu ayu yuyu

Ayu ayu yu nono

Watch Video

About Mapema

Album : (Single)
Release Year : 2024
Copyright :
Added By : Farida
Published : Sep 11 , 2024

More RONZE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl