Uswahilini Lyrics
Uswahilini Lyrics by SHETTA
Shetta X Mzee wa Bwax - Uswahilini
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini ndio balaa
Wameoa, wameolewa na jina la lala baa
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini sio poa
Huenda ni mtoto wa shehe na nnje ndo mchango doa
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, na kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
Eyo, uswa, uswa, uswa, uswahilini
Ugomvi chumbani, burudani kwa jirani
We choko choko uani pia na vibarazani
Viti na vijembe hadi nnje ya compound, ndani
Ila queens wapo huko usiseme kaja na nani?
Kitano kikifika, bora ujipinde na taxi
Wanangu wa kituoni kwa fix wanangoja basi
Zana za kikazi zimefichwa kwenye nyasi
Siku hizi haukabwi uloba, unapigwa tu upper cut
Ah, kina si wema, makauzi mpaka basi
Mi mwenyewe nawakubali wanapoipiga miti ngazi
Vimini ni kama beach, kuvaa chupi hawataki
Vingine fata mkeo kwao jicho la samaki
Guest kila night kama bure ziko nyomi
Zima taa usiwalaghai wazee wa chabo wapo oni
Tazani wamepay, ili nishani mlangoni
Ukiwagomea utaskia usiwahi cheza ki-Babyloni
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini ndio balaa
Wameoa, wameolewa na jina la lala baa
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini sio poa
Huenda ni mtoto wa shehe na nnje ndo mchango doa
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, na kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
Maisha ya uswazi mimi ndio nimezaliwa
Ugali unga robo, samaki wa kulumagia
Au Uswahilini, yaani vururana
Mtu anapigwa ngeta kinoma noma
Au Uswahilini, ndio maisha yetu
Hatuna Wasafi wala Facebuku
Familia kubwa, tunashindia buku
Cheza na mida, utakunja patupu
Uswazi, Uswazi
Huku kwetu maji ya kunywa tunauziwa
Gurudumu, tunapewa bure
Uswazi, Uswazi
Huku kwetu maji ya kunywa tunauziwa
Gurudumu, tunapewa bure
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini ndio balaa
Wameoa, wameolewa na jina la lala baa
We jamani Uswahilini, Uswahilini, Uswahilini sio poa
Huenda ni mtoto wa shehe na nnje ndo mchango doa
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
We cheza kama umeelewa, na kama umetinga
We cheza kama umeelewa, wewe kama umetinga
Ohoo, chuma kwa chuma, cheche
Ah, baba Kyla ugomvi wa mende
Biscuiti ya chuma
Hii hapa hii, kataa tuone
Chapa, we meseni
Nikienda naenda nao (Ao ao ao ao)
Nikirudi narudi nao(Mamaaaa)
Nikienda naenda nao (Ao ao ao ao)
Nikirudi narudi nao(uo uo uo uo)
Aya mbele, mbele, mbele mbele, mbele(jamani)
Myuma, nyuma, nyuma, nyuma, nyuma(reverse)
Aya twende, mia mbili, mia mbili iyo
Mia mbili ipo chini, mia mbili
Mia mbili, mia mbili iyo
Mia mbili ipo chini, mia mbili
Aya twende tunainama, na hiyo goti
Tunainuka, we iokote
Watch Video
About Uswahilini
More SHETTA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl