...

Hapa Lyrics by KASSAM


Usimwaze mwingine

Niwaze mimi tu

Nikisema I love you

Itika I love you too

Nisemeshe kwa kunongona

Oooh my boo

Tupendane mpaka waige

Ndege waliopo juu

Leo sitaki penzi haraka haraka

Tufanye taratibu

Leo tusitokwe jasho

Yaani taratibu

Tena tusiyafumbe macho

Tutazamane kwa ukaribu

Halafu uniambie ukipendacho

Nianzie shingo ama mbavu

Kwa moyo wangu uko hapa

Hapa hapa hapa

Hapa hapaaaah

Hapa hapa hapa

Kwa moyo wangu uko hapa

Hapa hapa hapa

Hapa hapaaaah

Acha nikuambiee

Hizi hisiaa

Mi nakupenda sana na nimekuridhia

Wewe bila mie

Mapenzi hakuna

Na tutachopanda

Ndio tutachovuna eeeh

Nikuache mimi labda ninmerogwa

Kichwani mwangu umenimejaa oooh

Ah nakuota

Nikilala mi nakuota

Leo sitaki penzi haraka haraka

Tufanye taratibu

Leo tusitokwe jasho

Yaani taratibu

Tena tusiyafumbe macho

Tutazamane kw ukaribu

Halafu uniambie ukipendacho

Nianzie shingo ama mbavu

Kwa moyo wangu uko hapa

Hapa hapa hapa

Hapa hapaaah

Hapa hapa hapa

Kwa moyo wangu uko hapa

Hapa hapa hapa

Hapa hapaaaah

Watch Video

About Hapa

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Sharon Abonyo
Published : Jul 19 , 2025

More KASSAM Lyrics

KASSAM
KASSAM
KASSAM
KASSAM

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl