Magwiji Lyrics by STOOPID BOY


Woyoo tumemwok tena na iningris moto
Nyoto mnaninauwo 
Still Docho the choice agagwaan
Waganis kwa wale wote hawaninauwo

[Liyetin]
Yeah sisemi kitu niko ritho
Mimi mchanga na vitisho
Nina kuja na vishindo
Kama mimi kimitindo

Ninawatisha kama gecko
Ama chocha like a bando
Nina mistari nyingi saka medal
Kama Kemboi nafanya kitendo

Nimeshikana nisake mamita
Nipate kivisa imekuwa kisanga
Ghetto ni Mungu huleta kipaji
Na wenye madollar hutoa kafara

Yeah magecko kutisha legi
Nijenge hii mwili mseme ni --
Na ngoja kidogo nimade hii beat
Maneno machafu natupa kwa pit

Itabidi nisake kiwanja 
Nijenge kinyumba mshuku shetani
Glory to God kunipa muziki 
Nipate riziki ndo nifike mbali

Ona ni fiti najua kilami 
Oh ghetto survivor so big boy you know
My nigga here are easy we ruling the game
Na ghetto ni mbali ukijenga tupeso

[Stoopid Boy]
Eneo Gotta City manze pon riverside
Niite Stoopid Boy ju ni sensitive nina ride
Producer nipe mic manze nastep aside
Nawaambia ukweli hakuna kitu mi na hide
Hata nikirap ujinga jua bado niko right
Kuna watu wameumwa hadi wamejibite
Kwa sababu dream zangu zimekuwa bright
Niko juu juu juu juu zaidi ya kite
Lebo ni oriji bado ndula ni ya Nike
Marapper wakituona kwa floor wanastrike

Ju baroda daily Gotta City
Hatutambui uwaganis
Wakikam ki Mbogi Genje 
Sisi ndio tuko na seska
Mbona sipendi kucheka
Kama ni mbili we peleka

Gotta imebeba magwiji
Buda patana na gwiji
Leo unaona magwiji
Kuja uone magwiji 

Gotta imebeba magwiji
Leo unaona magwiji
Buda inakuja na gwiji
Leo unaona magwiji

[Pingo]
Gotta ni serious baroda ni mingi ghetto tumezipak
Lebo ya FILA, jinare kamili kitopa na chini ma Clarks
Zile masilver ni mingi baridi inabidi turushie mafans
Cheza na sifa usije ukaoshwa majini ikabaki ni prank

Dah unaamka kwenda wapi sit down uone ticha
Nafunza juu ya ungati na ubani kwa hizi mitaa
Na mbogi wakiuliza jamani hatuoni raha
Tuwe rapper gani Gotta ndo twote tumezubaa

Leo huwaga tiki nani, mziki ni kiki nai
Ka unatufeel stahimili tuweke lipi mami
We unaona hatuko ganji Gotta ndo hushika nafsi wazi
Kurarua maspeaker mitaani sasa ndio radi mos

Sasa twende pole pole
Mrenge bima kwa vidole
Niseme sina ju ni show game
Wacha kuringa inavutaga more blames

Ukiholla kuna shida
Nakulola kimiujiza
Sifanyi vitu za ki giza
Ju niko hapa kuigiza

[Madocho]
Zoi fikra za kigwatha
Snap panyu machaju walimonchoka
Dwa dwa nzeza alikonyoro
Kuwamoch ka ndigi
Looku duich ni cheta
Razy mbona gere 
Ukipatch okolea muiningris
Vulai hanaku compe
Lakini thigi thigi ni wollipa

(Its Afro Royalty)

Watch Video

About Magwiji

Album : Magwiji (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Gotta City.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 11 , 2021

More STOOPID BOY Lyrics

STOOPID BOY
STOOPID BOY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl