Ni Kubaya Lyrics
Ni Kubaya Lyrics by KHALIGRAPH JONES
Mmmh
(The Beat Killer)
Ni kubaya yeey
Bazenga eh eh
(Vinc On The Beat)
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Msupa atoti ndae ni German
Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Ni kubaya)
Woi kairetu msafi
Mbota durag shingo mawaya
Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, imba ka Choir
Kobra ni King, Bazu ni Giant
Tangu tene Breeder me ni short wire
Leta zogo ndio utafinywa na pliers
Rap game nime simama kwa dias
Sembe na Mala na Kunde kwa Diet
Tabia za Baha na nguo za Diana
Zitafanya nifuate Dini Kwa Science
Nikikafunga nacopy Jalang'o
Napull up na Beamer, kwanza ki drop top
Mkwela alijifanya high class
After mechi si alidishi ma popcorn
Kwa shingo waya zimebeba ma karat
Trao imefura kwa mbosho
Vile wana pupa ka refa wa wresto
Undertaker ntakupiga tomb stone
Vile nawastua kama box X
Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex
Itabidi wamejua bado me ndio chosen
Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen
Niko fully loaded,sijai kosa content
Delivery noma mistari nafikisha doorstep
Tuko tu mamoshi ka take off ya rocket
Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem
Na siezi ngoja ku invest mamita
Zitaletwa na ngoma napiga
Tough Klan basi ntaigeuza Kanisa
Juu macosign napata na sifa
Ka si TK ni Blu Ink kwa speaker
Piga mrazi na chupa ya kichwa
Me napata baraka si kissmart
Wengi wao walikam wakapita
Si ni shocking ka blanca
We bado una mbogi me nazoza one man
Me ni head bad hadi staff-room nanyamba
Na naachia depa na princi lawama
Niko bypass, 105 nakanyanga
Ju kuna maganji nafuata Langata
Hapo mneti wanahatingi sana
Na tukipatana wako nervous
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Msupa atoti ndae ni German
Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Ni kubaya)
Woi kairetu msafi
Mbota durag shingo mawaya
Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Rada ni chafu washow tumefika
Hawajajua ni kubaya (Jua ni kubaya!)
Me ni moto na vile nawa-sun
Jua ni kufire (Jua ni kufire!)
Tuliona ukizoza na ndechu kwa IG
Ukajua nikuhire (Jua ni kuhire!)
Na vile huyu shawty anagawia umati
Hujajua ni malay*
Okay, Breeder alinishow OG nina banger
Nikamshow tuma ma nigga I got you
Na ju staki mastory za mbang'a
Vida ipigwe mchana sababu ya curfew
Ju lazima nipate briefing ya Mutahi
Nijue cases ngapi so far hapa Nai
Najua ni-ki ukatoto ikifanya story
Lakini ndanindani watakuwa wanafurahi
Itabidi niharakishe ndio nisepe
Hii si para Mr usiniletee
Hata mkilalamika mi natambulika
Siezi choma picha ama vipi?
Na nyi kwangu vinyangarika
Nawachapa vita na mkikasirika niwateke
Niwanyanganye sling na Timber
Na ju nyi ni wajinga
Ni vibare mpaka mi nitosheke
Na mi nawatafuna kama PK
PK, PK, PK jaba na njoti
Na hii ngoma lazima iwashike
Shike, shike, shike, mababi mangoki
Collabo noma Omollo na TK TK
TK TK, mafala hawatoshi
Na ka ni bars basi muitishe, Tishe!
Ndio tuwazungushe
Na ile pace ya Valentino Rose
Tukifika basi ni nuru
Tuko kwa telly kwa mbulu
Kutoka nyeri to Buru
Mpaka Nyeri to Mukuru
Tukimalizana na Nai
Tunafika Nakuru
Na juu hii si kazi ya bure
Buda toa ushuru
Mashore wanalia ooh thats badman
Gonga taka tukuscoop up na dust pan
Red carpet tuna pull up na Mustang
Looku ya gikomba tunapulizia Verseman
Competition imerushwa kwa trash can
Nyi mastude mmekuja for half-term
Hivyo ndio namalizia verse
OG Motherfucker nime pull up na Tough Klan
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Msupa atoti ndae ni German
Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya (Ni kubaya)
Woi kairetu msafi
Mbota durag shingo mawaya
Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Watch Video
About Ni Kubaya
More KHALIGRAPH JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl