Diliti Lyrics
Diliti Lyrics by OCHUNGULO FAMILY
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Eh! Avunja vunja mifupa kama meno bado iko
Pepeta pepeta ndo tuwashe nare jiko
Kipusa kipusa legeza kiuno
Kabisa kabisa nigongee
Katisa katisa kalesa girimba
Napenda napenda kibonge
Saa tisa magiza nakuita Mellisa
Unasita unasita nikuconje
Sukisa sukisa, matuta matuta
Nikikuta nikikuta usikonde
Baby karibia mwaah
Chum nikuchum baby karibia mwaah
Nina kishssh karibia mwaah
Mmmmh mwaah mwaah mwaaah
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Wagenge nawagotea ka wasee wa coasto
Hallo hallooo
Chorea huyo chali msupa
Manze ni dwanzi anakupiga mangumi
Kwangu mi nitakupamper ka ni kuchapa nakuchapa tu miti
Napenda vile unarombosa
Kwa dera najua hauna ngotha
Kevo akileta ujinga
Mimi ndio stress reliever
Baby umeingiza vibaya
Ah ah, Eka kwa sim 1, toa kwa sim 2
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Akothee chekesha
Hio matako tingisha
Fatuma napenda kiuno ukichachisha
Na sura changa ka Nyambura
Toto karembo ka Zarina
Kenya naipenda, Kenya tumebarikiwa
Watoto wetu warembo sana
Nyama choma tamu ukikula Gikomba
Mtaro tulale after busaa
Machozi ya simba
Wajanja ndio waoga
Mafisi ndio huachwa
Wajinga ndio hutokwa
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Kevo akinidiliti, Brian ananidownload
Mimi sihami Kenya
Mimi sihami Kenya
Watch Video
About Diliti
More OCHUNGULO FAMILY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl