Kamua Kamua Lyrics
Kamua Kamua Lyrics by OCHUNGULO FAMILY
Kamua kamua, man a badman ting
Man a man a man a aiii
Kamua kamua, Kamua kamua
Kamua kamua eeh
Kamua kamua leo ni siku ya kamnyweso
Na sijali ju ya kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso
Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
Kama konkodi bandia nikiwika mama mia
Banana hadai uhasama
Na mama anadai nakaa Osama
Nawatoa kehuti weka lawama
Tukule pizza ama tu kishawarma
Ah tupige shawama
After that tuchill tukule shada na
Na mapaja zako zanichanganya
Na mastress zishuke tukipandana
Yap yap mingi truna minimize
Corona ya pili tunasanitize
Mi na mafathele tunalegalise
Na babe wa pili ananidramatise
Kamua kamua leo ni siku ya kamnyweso
Na sijali ju ya kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso
Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
Kama konkodi bandia nikiwika mama mia
Niko maji kama lorry ya clean water
We tembeza kama logo ya Johnny Walker
Tuparare kama mbwenya ya smart joker
Kuna jua na niko na Moon Walker
Though nacheki clear ka digolo za reporter
Me hupea kazi mareporter
Kwangu ujue ni konc utaeza kosa kuji conquer
Cheza pull up to me to me bumper
Sexually transmitted degree
Lightskin na darkskin kwa picha ya ID
Darkskin na lightskin kwa picha ya IG
Namsoma kaa niko KCSE
Kamua kamua leo ni siku ya kamnyweso
Na sijali ju ya kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso
Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
Kama konkodi bandia nikiwika mama mia
Ni life hadi soshi unyimwa
Ni life hadi sponyo hunyonga
Ni life hadi ma ong'ong'o huringa
Ni life kuvunja shingo
Sinsima, nimezoza na Ki Bima
Na ma woman na ma mandem nyuma
What a gwaan, akue amekonda bado ni mtamu
Akuwe amenona bado ni mtamu
Akuwe ni darkskin bado ni mtamu
Akuwe ni lightskin bado ni mtamu
Bado ni mtamu
Kamua kamua leo ni siku ya kamnyweso
Na sijali ju ya kesho
Napimia pimia leo usiku si mseso
Nasipendagi mateso
Napimia pimia mziki sawia sawia
Kawia kawia nitazivamia vamia
Kalia kalia nitazidandia dandia
Kama konkodi bandia nikiwika mama mia
Watch Video
About Kamua Kamua
More OCHUNGULO FAMILY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl