Wale Wale Lyrics by OKELLO MAX


Jamani kuwa na kiburi ni kibarua
Chama cha kisirani sisi tunawajua
Shindana na tembo msamba mtapasua
Mbivu mbichi cani ? hii leo tuta tatuaa
Nawashikia kwa melody
Nawashika kwa mistari
Tangu enzi za DVD, CD
Nakuanga muhatari
Nawaletwa burudani, kali kali
Juu  napiga gucci chini nawapigia champali
Wanauliza maswali
Eti ywaya tajiri yule ni tajiri wa nani
Yo yo yo yeah man
Ezema, elema
Hello yeah yeah

Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale
Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Silomote ma ma ma
Na na na, na na
Na lele, na lele, na lele, na lele
Nale nale nale naleee
Sampelapoo na lele

Excuse me mon amour
In kendi e piny ka
E nyimi to gimor
Kendgi togisin ga
Yawa, magi mage
Pokaneno joka ma
Uloke tiju, miso dwe to pod utar
Gimok chuli to ibathorigo nang’o
Apilo mokichamo tolungo dhogi nang’o
Sami locho gikuyoo
Kendo lit negi ndi
Kata yago giluoroo
Kagi chiki mondi podhi ay yawaa
Kendo lit negi ndi
Giidoo gichiki mondi podhi
Heh heh heh heh general
Nale nale nale naleee

Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale
Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Tafadhali hizo kasoro zenu sitaki leo
Kwa nini hamfurahi kuona maendeleo
Si kupenda kwangu Baraka ninazo nyingi
Naelewa wivu mko nayo nyinyi
Mnakesha mkiomba sana nianguke
Vazi langu mbona mwataka tia tope
Pamba nyeupe (pe pe pe)
Watiaji nyie (nsiniletee)
Mtangoja sana ninyenyekee
Nakunywa chupa nzima nameza pekelee (taliban)

Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale
Hawataki tutoboe (kina nani hao)
Wanakesha popo waturoge (kina nani hao)
Ni wale wale wale
Wale wale wale

Eric mandala boss
Ah jose Congo congolo
Hapo vipi (Dole chonjo)
Huko nyuma je (Dole chonjo)
Huku mbele mkoje (Dole chonjo)
Madada wote je (Dole chonjo)
Mabraza meni mkoje (Dole chonjo)
Kila mtu aire je (Dole chonjo)
Wale wale wakija (Dole chonjo)
Ah ah ah (Dole chonjo)
Kila kitu sawa freshi (Dole chonjo)
Wale wale (Dole chonjo
Dole chonjo)

Watch Video

About Wale Wale

Album : Wale Wale (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Nov 09 , 2022

More OKELLO MAX Lyrics

OKELLO MAX
OKELLO MAX
OKELLO MAX
OKELLO MAX

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl