Nakupenda Lyrics
Nakupenda Lyrics by HOPEKID
Yes man, see me ah sey (hahahaha)
Eyo Alex
Your love spins so good to me
And I will always treasure
You've been true to me
Nakupenda, uko na bidii
And you teasing your nature,
You are perfectly fit
Nakupenda oooh
I would like to see you better
by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
I would like to see you better
by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
Sijampata kama weeeh (kama wewe)
Penzi lako linaweza wewe weeeh
Sijampata kama weeh (nakupenda)
Sijampata kama weeeh (kama wewe)
Penzi lako linaweza wewe weeeh (oooh)
Sijampata kama weeh (nakupenda)
Waweza kunizalia watoto kama wanane (wanane)
Ama unijazie Kasarani (Kasarani)
If Jah bless, I will give thanks
I will give them my name and I will give thanks
Baby we ni wangu wa maisha
Na me pete nishakuvisha
Ona vile unanimaliza
Nah nah nah nah
I see better through your eyes
am stronger by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
I would like to see you better
by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
Sijampata kama weeeh (kama wewe)
Penzi lako linaweza we weeeh (oooh)
Sijampata kama weeh (baby nakupenda)
Sijampata kama weeeh (kama wewe)
Penzi lako linaweza wewe weeeh
Sijampata kama weeh (nakupenda)
I would like to see you better
by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
I would like to see you better
by your side
Huwezi kuniona nikiteta
Huwezi kunipata nikiteta
Sijampata kama weeeh (kama wewe)
Penzi lako linaweza wewe weeeh (oooh)
Sijampata kama weeh (nakupenda)
Sijampata kama weeeh
Penzi lako linaweza wewe weeeh
Sijampata kama weeh (nakupenda oooh)
Watch Video
About Nakupenda
More HOPEKID Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl