Wahi Wahi Lyrics
Wahi Wahi Lyrics by HOPEKID
Yeees man, see mi a seh
Hhmm na nicah the Queen
Umeniwahiwahi mama, kama mwizi kwa mikono ya raia
Umeniwahiwahi mama, kama mlevi amelemewa na bia
Umeniwahiwahi mama, zawadi Mungu amenitunukia
Gyal you got mi whole heart it’s time fi settle down now
Nataka pete pete nikuvishe
Na vitenge tenge tufananishe
Tuwatese tese tuwa-feelishe
Waone gere gere gere
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Ooh I know I know
You wanna be with me tena wanidhamini
And I know I know si rahisi
Ila nitajitahidi
Nakubali pete pete univishe
Na vitenge tenge tufananishe
Tuwatese tese tuwa-feelishe
Waone gere gere gere
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Babe you you you
Babe you
Babe you you you
umeni wahiii
Babe you you you (Kama mwizi kwa mikono ya raia)
Babe you (Kama mlevi amelemewa na bia)
Babe you you you, umeni wahiii
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Umeni wahi wahi mama
Umeni wahi wahi maaaa
Nimeku wahi wahi sana
Nimeku wahi wahi sana
Nimekuwaaaahi wahii
Watch Video
About Wahi Wahi
More HOPEKID Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl