
Toto Lyrics
Toto Lyrics by REKLES
Eyaa bro niaje bana uko fine
Na umepotea nina issue bana
But sijui kama unaeza okolea
Issue gani bro si unajua tu ni ya magyalis
Kuna mwenye ako box buda na anakaa Pangani
Na dem jo bana ulimpata wapi?
Nini buda si unajua tu mi ni nani
Mtoto ni mloyal na hajailete visirani
Na nilikuwa naona nimpeleke kwa wazazi
Aii yoh buda uko sure?
Buda niko sure bro mimi najijua
Hio pongi aki ya nani siwezi hata tumia Sure
Hio pongi nikidhani mi ndo wa kwanza kusugua
Eeh sawa sawa
---
--
Watch Video
About Toto
More REKLES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl