Weka Piano Lyrics
Weka Piano Lyrics by REKLES
Dumba dumba dumba, tumekam kudunda
Tumekam zungusha
Dj mr Dj weka rhumba
Weka jam inachuna
Weka piano, weka piano
Jejejejejaa
Dumba dumba dumba, tumekam kudunda
Tumekam zungusha
Dj mr Dj weka rhumba
Weka jam inachuna
Weka piano, weka piano
Pi-pi-pi-eh eh
Nampenda penda (Nani?), nampenda penda (Nani?)
Ah silali, ah sikuli
Nampenda penda (Nani?), nampenda penda (Nani?)
Ah silali, eh mi naparty
Rasta man niko juu ya taba
Na siwezi party bila blunt ama bila jaba
Yoh niite Alibaba, mi ni baba yao
Na tuwezi haribishana, haa sidai madharau
Woza, woza
Dumba dumba dumba, tumekam kudunda
Tumekam zungusha
Dj mr Dj weka rhumba
Weka jam inachuna
Weka piano, weka piano
Jejejejejaa
Time to go dancing, time to go slaying
My people dancing baby on the way
Toka kwa nyumba si utupate ni Java
Tena mavibes tumejaza akiba, kiba, kiba kiba kibaba
Na nishakusoma, we unatung'ora
Oya ushachoka na hata bado sijaanza
Sijaanza ngoja kwanza nipige makali na shada
Hapa huwezi mblein hata kama unafanya kazi NaCada
Dumba dumba dumba, tumekam kudunda
Tumekam zungusha
Dj mr Dj weka rhumba
Weka jam inachuna
Weka piano, weka piano
Jejejejejaa
Nampenda penda (Nani?), nampenda penda (Nani?)
Ah silali, ah sikuli
Nampenda penda (Nani?), nampenda penda (Nani?)
Ah silali, eh mi naparty
Piano, piano
Amapiano, piano (Woza Woza)
Piano, piano
Amapiano, piano (Woza Woza)
House of Badass
Watch Video
About Weka Piano
More REKLES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl