REKLES So Fine cover image

So Fine Lyrics

So Fine Lyrics by REKLES


Niaje baby cheki unanimaliza
Na ju nimekucheki nauliza jina
Aki ya nani una mwili amazing
Niko na time plenty
Siju we ni pengting twende pizaa

Nadai nikuite keki ama malkia
Nipe basi namba nisitoke bila
Hadi nimecheki mabuda wakikucheki
Ndio maana lazma niulize 

Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine

Venye uko fabulous unanikill
Nakimbizwa kwa ambulance
Lazma nikuchoche ata ka siwezi fika calibre
Ka uko money minded na unadai mabuda pia ni sawa
Akipunguza bill mi nakupunguzia ata kibat

Ka unitakitaki nameesha kitambi bas
Ningekuwa na ganji sai tungekuwa Abudhabi
Pakua pakawa unafanya jo napagawa
Majuu najua tutafika bila mabawa

Niaje baby cheki unanimaliza
Na ju nimekucheki nauliza jina
Aki ya nani una mwili amazing
Niko na time plenty
Siju we ni pengting twende pizaa

Nadai nikuite keki ama malkia
Nipe basi namba nisitoke bila
Hadi nimecheki mabuda wakikucheki
Ndio maana lazma niulize 

Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine

Na si unajua venye we hunimaliza
Ukichoresha saba, saba
Na nashuku umenisetia madawa
Ju si kawaida kwangu kupenda sana
Si kawaida kwangu kupenda sana

Hakuna presha bae ka uko na mimi usitense
Relax cheki bae usiogope relax
Nakumbuka jana nilikall ju nimekumiss
Nikajifanya ni bahati mbaya

Na si unapenda madoba
Ukidai nikuimbie, nakuja na guitar
Na juu Nairobi kuna utiaji
Harusi hadi Zanzibar, harusi mpaka wapi?

Niaje baby cheki unanimaliza
Na ju nimekucheki nauliza jina
Aki ya nani una mwili amazing
Niko na time plenty
Siju we ni pengting twende pizaa

Nadai nikuite keki ama malkia
Nipe basi namba nisitoke bila
Hadi nimecheki mabuda wakikucheki
Ndio maana lazma niulize 

Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine
Mbona unakaa so fine, so fine

 

Watch Video

About So Fine

Album : So Fine (Single)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 16 , 2022

More REKLES Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl