No Neva Lyrics
No Neva Lyrics by REKLES
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
Mbona buda jo unasuck sana ka nekta
Chingri mi huchapa dry jamaa sidai chaser
Ati revolutionary we si Mandela
Ukidai pewa hakuna presha
Kuna tupesa niko maji maji buda kila area
Ndio maana bana mi huzururanga na bartender
Sikiza shule mi nilikuwa naitwa mannerless
Sa hii nashika mamita toka kwa salary
Mbona unaniita na niko Germany
Nabonga na madiva wananitamani
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
Ati nini husumbua rappers wakirap
Si ati beef ni tu vitu zako zote si huskizaga jo ni crap
Mi hukufeel shida ni hupendi ukweli
We hupenda kuchochwa na mafans
Na pia ju sipendi kesi acha ninyamaze ju najua umejaa gas
Siwezi kuacha mavela pia veve du
Napenda zishike nifike hadi juu
Kwanza alele naseti na njugu
Nikiomoka hakuna tena kaguu
Nikuririma ririma kuziseti
Makwela na pishori kwa vibeti
Mafutani na simaanishi kwa peti
Rongai nachachisha hadi Westy
No Neva ni vela forever
We neva leta mali safi usilete whatever
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
Ukidai makali we pewa
Mimi kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
No neva, no neva
Kuacha mavela no neva
Watch Video
About No Neva
More REKLES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl