EVELYN WANJIRU Sifa Zitande cover image

Sifa Zitande Lyrics

Sifa Zitande Lyrics by EVELYN WANJIRU


Uhimidiwe Bwana,Mungu wa Israeli
Milele hata milele
Tulishukuru jina lako takatifu
Tulifanyie sifa jina lako oh
Uhimidiwe Bwana,Mungu wa Israeli
Milele hata milele
Tulishukuru jina lako takatifu
Tulifanyie shangwe jina lako

Sifa zitande, Sifa zivume
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zivume
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zivume
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zivume
Jina Lake Yesu lisifiwe kote

Mwimbieni Bwana, Sifa kwa furaha
Lihimidiwe jina lake tukufu
Lililotukuka kuliko majina yote
Mwimbieni Bwana, Sifa kwa furaha
Lihimidiwe jina lake tukufu
Lililotukuka kuliko majina yote
Tangazeni matendo yake ya ajabu

Sifa zitande, Sifa zitande
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zitande
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zitande
Jina Lake Yesu lisifiwe kote
Sifa zitande, Sifa zitande
Jina Lake Yesu lisifiwe kote

Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba Yee zikufikie
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba Yee zikufikie
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba Yee zikufikie
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba Yee zikufikie
Sifa zote zitande
Baba Yetu Baba Yee zikufikie

Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande

Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande
Sifa zote eh sifa zote eh
Zitande, Zitande
Zitande ,Zitande

Watch Video

About Sifa Zitande

Album : Sifa Zitande (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Mar 02 , 2022

More EVELYN WANJIRU Lyrics

EVELYN WANJIRU
EVELYN WANJIRU
EVELYN WANJIRU
EVELYN WANJIRU

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl