Inuka Lyrics
...
Inuka Lyrics by EVELYN WANJIRU
Inuka Baba jaza mahali hapa
Na uwepo wako tuna hitaji sasa
Kilio chetu tafadhali sikia
Mwanga wako tuongoze njia
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza manali hapa na nguvu zako
Ukiwa nasi tutapata amani
Siku zote nasi hatutakuwa na hofu
Sauti yako Baba tunaitamani
Hatua yako tusogeze mbele
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza manali hapa na nguvu zako
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza manali hapa na nguvu zako
Ukiwa nasi tutapata amani
Siku zote nasi hatutakuwa na hofu
Sauti yako Baba tunaitamani
Hatua yako tusogeze mbele
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza manali hapa na nguvu zako
Inuka inuka sisi twasubiri
Jaza jaza manali hapa na nguvu zako
Kilio chetu tafadhali sikia
Mwanga wako tuongoze njia
Watch Video
About Inuka
More EVELYN WANJIRU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl