Kanairo Lyrics
Kanairo Lyrics by MADOCHO
Hivo ndo Joker Joke hubwos
Kanairo mnanauwo streets ni genje
Na sheng si ya mtu
Cheki my nigga hapo Kilimambogo
Eastlando bado tuko chonjo
Ma nigga wa Gotta wamoto
Nishike kamawe useme mi ni zogo
OG na sling za goro
Leta niko na mokoro
Napenda Diana mpige usoro
Love in the musta msome hii logo
Choi joto wangu ndoto
Na mi Portmore nina mangoto
Si Zaga hanaku zogo
Mbwegze, wutat, jamo
Mi nanauwo anwar bwos
Tombotha switla sijui baroda
Umbuthe nishabugda
Hii Kanairo si ya mawaganis
Ju dimona alilola
Akabuya kaa kruger
Kwaz guege imemundia
Naleta kwani form ni gani
Mjue niko ulayani
Unaniholla na sipatikani
Uliza karani ujue mi ni nani
Niliachana na stori za Colo
Nataka kuzidi mayolo
Ngoma zangu ni za solo
For the collabo buda unaborrow
Niseti kabiz Dubai, nizuru Mumbai
Nirudi moshatha naishi tu Nai
Watoto wa jana wapewe kachai
Aki walai mambleina sidai
NIkitoka aki niko na mwakenya
I look at the nigga na nikiwa Kenya
I'll never surrender na sitaki kupenya
Maslay wasudi wa hapa hapa Kenya
Pickn no true, fckn niggas on my boo
Wanawrite on my boo waseti kabeef
Niko ready niko bie, loving money
Mi huwa na mbogi tu bie
----
----
Choi joto wangu ndoto
Na mi Portmore nina mangoto
Si Zaga hanaku zogo
Mbwegze, wutat, jamo
Mi nanauwo anwar bwos
Tombotha switla sijui baroda
Umbuthe nishabugda
Hii Kanairo si ya mawaganis
Ju dimona alilola
Akabuya kaa kruger
Kwaz guege imemundia
Watch Video
About Kanairo
More MADOCHO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl