Watabonga Lyrics
Watabonga Lyrics by H_ART THE BAND
Wa kubonga watabonga sana
Wakiona jinsi twapendana
Na vile kila zetu zinafaana
Na vile kila siku nawe furaha
Oh my, my I tell you no lie
We stay up all night with candle lights
And a bottle wine to set the vibe
Watafanya nini kututenga?
Waambie wasome lebo speak your mind
Oh baby dance to my tempo it’s alright
And you’re my kinda rebel so I am
Watafanya nini kututenga?
Watabonga, watabonga sana Na sitakoma
I will keep on loving you my girl
Watabonga, watabonga sana Na sitakoma
I will keep on loving you my baby
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
I will keep on loving you my baby
Watabonga bong asana
Ni maneno tu ni vigumu kuzozana
Mimi na wewe boo
Wamengoja sana kutugawanyisha hawachokki
Hawaoni ni mbali tulipotoka binadamu hao
Watabonga, watabonga sana Na sitakoma
I will keep on loving you my girl
Watabonga, watabonga sana Na sitakoma
I will keep on loving you my baby
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
I will keep on loving you my baby
Wa kubonga waende CNN na BBC
Ushaaomoka na omollo hao ni TBT
Umeivisha kidogo niroge na kikisii
Ati wamecatch reason siku hizi hauwatingishii
Bakumbuka ile time nilikua nikiishingi dee
Ukicome kwa keja ilikua movies tu kwa DVD
Ukanikazia ati hautaki pigwa miti please
But I’m chill coz you know me I’m an easy G
Wanabonga but kelele tupu
Buda yao baby hatutaki kwere huku
My apologies kwao but ni ka pole hawataki
So the only thing we give em is kidole cha katit
They be yapping but me sijui wanasema nini
Juu sioni venye inawahusu kati ya we na mimi
Juu we na mimi ni callobo moja falmes
Papa Jones signing out, girl I know you feel the same OG
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
I will keep on loving you my baby
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
Wataboo watabonga (wataboo)
Wataboo wataboo (wataboo sana)
I will keep on loving you my girl
Watch Video
About Watabonga
More H_ART THE BAND Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl