Dose Lyrics
Dose Lyrics by SSARU
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
On toes, stand up on toes
Am grown maturity on top
Am dope, applause applause
Nimekuja na ingine inatisha
Na this time nimekuja kutesa
Wananingoja kwa dirisha
Ju wanajua mlango sitabisha
Nimekuja kuwakilisha
Wale wasanii hawajaskika
Cheki venye nababaisha industry
Najua nimefika
Nimekuja na mbogi ya ghetto
Mkiona hivi mnajua si safe jo
Na ju sijakuja kunego
Nimekuja biz nitawacha ka record
Nimekuja na punchlines
Ni mistari mature si ya kitoto
Nimekuja ku attack
Nimekuja kutake over ngoma za local
Nimekuja na fujo, nimekuja na presha
Jo nina mioto
Na ju mi ni deng'a na mi ndo kusema
Jo nimeleta joto
Utapata kahoma ju ya hio tension
Leo mtapoteza vocals
Na ngori vinoma ju ya vile ninaspit
Jo mtawacha utoto mtawacha unoko
It's high time twende international
Utawacha upoko, ju haidai mrembo
Inakufanya mtato tu, utabaki msoto
Utabaki umebeat unatoa kaharufu
Ushaua ndoto you homeless
And no where to go
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
On toes, stand up on toes
Am grown, maturity on top
Am dope, applause applause
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
Huku ni kumoto, huko kumechill huku ni kumoto
Huko ni kushoto, sa twende kulia huko kwa wanoko
Tupige maphoto tupost waseme tumeanza show off
Tupite kwa soko, tufanye kawindow shopee kichokoch
Maisha inabamba, inataka ujanja, inataka ukae rada
Utapata mascandal, hebu jihandle, utakufa kwa kamba
Itabidi umehustle, utoe jasho, uwache kwenda kwa mganga
Chorea hizo vako, juu haidai, Mola amepanga
Naskia mnanitaka juu mmnenihata
Mi ndio yenu dose
Naleta mikasa nawapa dawa
Nyingi overdose
Na harufu safi, marashi kali
Inachofya nose
So smell my shit and swallow your beef
Cz am your fuckin boss
Na stick on your lane
Na get you some lens ndio unizoom vifiti
Walai comment and share post zangu pale IG
Ju mi ni mtoto totole na nimeweza na siringi
Ni Ssaru moto otea mbali si deal na mashilingi
Dose dose Ssaru ameleta ka dose
On toes, stand up on toes
Am grown maturity on top
Am dope, applause applause
Watch Video
About Dose
More SSARU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl