Mapenzi Hisia by OTILE BROWN Lyrics

Tunapendeza pamoja ni dhahiri
Tuliumbwa tuwe pamoja baby
Na sisi huwaga pamoja daily
Na kama kando yake hukuniona jua sipo mbali
Maana me ni kivuli chake ye, aendako na me nakwenda ee
Haijalishi uendepo wapi ee,, nishike mkono twende wote ee
Maana me kivuli chake, aendapo na me nakwenda ee
Haijalishi uendako wapi baby nishike mkono twende wote sote
Tunapendeza pamoja ni dhahiri

Iiii aaaahh mapenzi hisia eii
Aaaah mmoja anakuridhia eeeh
Aaah mapenzi hisia eeh aaaah
Mmoja anakuridhia
Haijalishi unampenda nani herera herera
Basi niambie unampenda nani herera 

Music Video
About this Song
Album : Mapenzi Hisia (Single),
Release Year : 2017
Copyright : (c)2017
Added By: Trendy Sushi
Published: Feb 07,2020
More Lyrics By OTILE BROWN
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics