Jipe by NADIA MUKAMI Lyrics

Kamoyo kangu kachoyo
Ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka bagamoyo
Anataka kunichumbia

Sasa nalishwa, navishwa
Naogeshwaaaa aaah
Tena nalindwa napendwa 
Yule si wa kuficha aaah

Picha kule kule
Watapata taabu saaana
Macho mbele mbele
Ananipenda saanaa aaah

Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai (Kweli)
Uh ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai (Kweli)
Uh ndo ushakwama unachotaka sikatai honey

Najua bado huamini haya yamekua (Yamekua ehh)
Acha siamini

Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Mapenzi malove nawe
Iwe shida au raha nitaponda nawe
Nataka kapicha nawe
Kumbusho pale tumetoka nawee

Siamini leo ni mimi nawe (uuuuuh mama) 
Ni mimi na wewe
Hizi pesa nitafute nawe (Uuuuuuh mama) 
Nitafute na wewe

Lemme call you my dear
This love is real not bandia
If I love you hutakimbia
Coz my love is real not bandia

Si Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kivyetu

Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)
Aka kamoyo kangu nijipe (Nijipe)
Ukinipenda sana nijipe (Nijipe)

Music Video
About this Song
Album : African Popstar / Jipe (EP),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Sevens Creative Hub.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 16 , 2020
More Lyrics By NADIA MUKAMI
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment