LaCasa Lyrics
LaCasa Lyrics by EXRAY
Aaah aah aah aah
Iii, iii ii iii
(It's Byron baby)
Nakachapa chapa ki careless hapa
Na hakuna kitu woi utadu (La Casa)
Tukianza passa passa sepa mtachoka
Ngeus wangu ako greater than you (La Casa)
So walete one by one (La Casa)
Walete two by two (La Casa)
Walete three by three (La Casa)
Hata muite Njeri na Mercy (La Casa)
Hapa si huwakunywa bila chase (La Casa)
Kenye iko hapa itakumess (La Casa)
Tuko high wote usitense (La Casa)
Ukilegeza tu unaingizwa kwa mix (La Casa)
Ukinitaka taka vi-careless hapa
Tania hakuna kitu mtadu (La Casa)
Tukianza si anasa si hapa mtanyonga
Chali yangu ako better than you (La Casa)
Walete one by one (La Casa)
Walete two by two (La Casa)
Walete three by three (La Casa)
Na vile kwanza mnabonga shit (La Casa)
Endeni kwanza mtafute press (La Casa)
Kenye iko hapa itawamess (La Casa)
Endeni mtafute kwanza pesa (La Casa)
Kila kitu inaenda wing (La Casa)
Nakula mafupa kama hit king
Mtoto amenipea kama beat king
Ati anapenda sana miti
Patawaka sana hapa mtoto akuwe lit ting
Napendaga mbogi ya mabigting
Mangoko wamedunga kwanza G string
Mwambie akaze guitar kwanza G string
Gilbeys kwa chupa ya Guiness
Anasema anapenda licking
Ati anapenda vitu creamy
Ati heri niingize ulimi
Vile nimesema anaiona kwa makini
Leo tunachoma tumaini
Tulipotezanga tumaini
Tuko na mafedha Tumaini
Tuko on wote tuko na mpini
Napenda marasa zinavibrate
Kuku ya mayai si ma highgrade
Mali safi safi kama highgrade
Mwambie kichwa solo atapatana na migrains
Nakachapa chapa ki careless hapa
Na hakuna kitu woi utadu (La Casa)
Tukianza passa passa sepa mtachoka
Ngeus wangu ako greater than you (La Casa)
So walete one by one (La Casa)
Walete two by two (La Casa)
Walete three by three (La Casa)
Hata muite Njeri na Mercy (La Casa)
Hapa si huwakunywa bila chase (La Casa)
Kenye iko hapa itakumess (La Casa)
Tuko high wote usitense (La Casa)
Ukilegeza tu unaingizwa kwa mix (La Casa)
Ukinitaka taka vi-careless hapa
Tania hakuna kitu mtadu (La Casa)
Tukianza si anasa si hapa mtanyonga
Chali yangu ako better than you (La Casa)
Walete one by one (La Casa)
Walete two by two (La Casa)
Walete three by three (La Casa)
Na vile kwanza mnabonga shit (La Casa)
Endeni kwanza mtafute press (La Casa)
Kenye iko hapa itawamess (La Casa)
Endeni mtafute kwanza pesa (La Casa)
Kila kitu inaenda wing (La Casa)
Nilikuwa form ya DB cooper
Zangu zikishika mchana kutwa
Mbogi ikarequest panda Uber
Tutafute doshi inakaa proper scooper
Chantelle mbona umetutupa
Tee tee si unatupa
Uliachanga waandishi juu ya pupa
Sipendi hawa mabiggie wanakaa kama 2pac
Labda ukuwe pope ndo utanisuka
Labda upigwe mob ndo nitashtuka
Customer niliuzaga duka
Natafta boy ataact kama buda
Who is dat we ni wa kubukta
Sukta nukta niburn kama cooker
Sniper natafuta shooter
Suka man ataact kamasutra
Napenda marasa zinavibrate
Kuku ya mayai si ma highgrade
Mali safi safi kama highgrade
Mwambie kichwa solo atapatana na migrains
Watch Video
About LaCasa
More lyrics from Movement Vol.1 album
More EXRAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl