Many Many Lyrics
Many Many Lyrics by EXRAY
Ni koro ash
Usoro usoro ash ash
Inadoro ash, ni kuro ash ash
Agutho uroro, za messi za roro ash ash
Kumi Dalas, Kamagera, Taniua
Cheki niko na swali
Niko na swali
(It's Byron Baby)
Nyi hukulana mara ngapi
Many, many, many many many many
Nyi hukiss ingi mara ngapi
Many, many, many many many many
Unapeangwa kweli?
Ama dem yako ni ka mtapeli
Ye hukunyima mara ngapi
Many, many, many many many many
Nakukula nika nika oly vench
Staki story ya jana tutachange
Na ex we ni mrefu over your age
Na unanyesha nimejipin na raingauge
Mapenzi ya karatasi hauskii mi si kasuku
Ka kana nyama nitakakunywa supu
Ako na madents ama ni ka usupu
Katafanya akili yangu ikunywe supu
We uliskia wapi niko na madem
Vile nitakachapa nitakaachia hadi dents
We uliskia wapi niko na kipeng
Naeza penda kwanza kakiokota mapegs
Mi huwapeleka mdogo magizani mamboko
Nakateka mbio mbio ili tupigwe mboto
Cheki mpaka kwa mkono design kidogo
Ati nakumba toto kwa machoche za fofo
Cheki nina mistari na mavibes ka zote
Ati nashika toto kanadance kegoco
Ati chuma ni moto, chuma ni moto
Chuma ni moto, chuma ni moto
Nyi hukulana mara ngapi
Many, many, many many many many
Nyi hukiss ingi mara ngapi
Many, many, many many many many
Unapeangwa kweli?
Ama dem yako ni ka mtapeli
Ye hukunyima mara ngapi
Many, many, many many many many
Mi ni mrasta, rasta hata futhi sinyoangi
Busta busta usishuku mi ni ngwangi
Mwangi Konyagi mi ndio pombe sikunywangi
Mrasta kinyaru mi ndo bangi sivutangi
Nikikuita bash mbona jo aki hukunjagi
Mapara mavako ndo ufala sitakangi
Usinibebe lakini sitoshekangi
Form za Arimis mrembo siku hizi sinyongagi
Nina lines ka zote nikite msee wa begi
Nawanice kote kote nikishika hizo majegi
Baby -- kachangamkia hizo ma kegi
Pedi anamedi na msupa wake kwa bedi
Morning glory kuwadinya kisapa kama ni pedi
Kata kiuno nakutaka wewe ni keki
Looku kamba ni freshi, njugu jaba na Kresti
Rungu itisha -- kama ni betty
Baby banana nafunga bao kama ni Messi
4:20 nyanya kwa babi but ni kesi
Upesi adisia kichoi niko na jeshi
Mapengting kwa pori nimejipin masenti
Many, many, many leo nachinja naua
Many, many, many kama picky picky maua
Nafanya vitu zangu underwater si unajua
Nateka dem yako toka ghetto hadi ubabini
Malate night ni ma -- za mitini
Kuuguza tufuraga tufuchizi
Na mtu yake sitambui nampiga kanzu
Najua siku hizi anajiita eti bazu
Kidole ya kati nainyoosha naipate kwangu
Na nina courage kama player covid 19
Na kunishika itabidi mtafte vaccine
Ju kwa mastingo mi ndio sumu mi ndio machine
Nyi hukulana mara ngapi
Many, many, many many many many
Nyi hukiss ingi mara ngapi
Many, many, many many many many
Unapeangwa kweli?
Ama dem yako ni ka mtapeli
Ye hukunyima mara ngapi
Many, many, many many many many
Ni koro ash
Usoro usoro ash ash
Inadoro ash, ni kuro ash ash
Agutho uroro, za messi za roro ash ash
Naingia na sipigi hodi hodi
Ju nimelewa natembea na magoti goti
Na sio ndom ni steam za mapodi podi
Fungua mlango nakimbishwa na madogi dogi
Mi nalia na kilugha ya kibaki baki
Ju naambiwa nitakunywa ikibaki baki
Sina kakitu hata sapa mi sipiki piki
Niko na katoy kakulipwa piki piki mmmh
Watch Video
About Many Many
More lyrics from Movement Vol.1 album
More EXRAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl